Naomba msaada kuhusu TRA Calculator

kigogo1ivi

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
534
323
Habari za muda huu wakuu? Samahani naomba msaada kuhusu Calculator ya TRA, ninataka kuagiza gari sasa nimejaribu kukokotoa naona gharama inakuwa kubwa sana sasa nilitaka kujua kuhusu gharama za kikokotoo zinakuwa zimeunganishwa na bei ya gari?
 
we jamaa mbona unafurahisha. Hizo ziunganishweje na gharama za gari wakati gari umenunua wewe, wao wataijuaje?

Hio hesabu wanayokupa ni tofauti kabisa na gharama za gari lako toka japan.

Ukitaka kupata jumla ya gharama, chukua unayopata kwenye calculator yani kodi, jumlisha CIF (gharama ya gari mpk bandarini), jumlisha gharama za bandarini hizo atakwambia agent wako atakaye clear gari, pia jumlisha pesa ya agent atakaetoa gari bandarini.

kumbuka TRA wana formula yao ya kodi inayojenga msingi wake katika makadirio yao ya CIF ya gari husika.

Uki peak gari ambayo wao wanaikadria sokoni bei yake ni kubwa basi kodi pia itakuwa kubwa.

Kadri gari inavokuwa mpya zaidi kwa miaka ndivyo kodi pia inakuwa kubwa, kadri gari inavyokuwa luxury zaidi ndivyo kodi pia huwa kubwa

Kila la heri!
 
Ahsante mkuu
 
mkuu Tanzania tunabandari lakini kodi zote, cif na kutoa mzigo bandarini ni zaidi ya bei ya gari tunahali ngumu, wazambia. malawi, hawana bandari ila kwao bei si kali ka kwetu na ndo maana wanauwezo wakumilika magari mapya
 
Habari za muda huu wakuu? Samahani naomba msaada kuhusu Calculator ya TRA, ninataka kuagiza gari sasa nimejaribu kukokotoa naona gharama inakuwa kubwa sana sasa nilitaka kujua kuhusu gharama za kikokotoo zinakuwa zimeunganishwa na bei ya gari?
...nacheka kama mazuri
 
Viongozi wetu wanatakiwa wafungue akili za ubunifu kwa wananchi kwa kuwapa nafasi ya kutumia vitu vipya ili waende na wakati.

Huwezi kupata wabunifu wazuri kama unawabana kwendana na spidi ya teknologia inavyo kimbia, unampa mtu nafasi ya kutumia mtumba wa miaka mitano iliyopita na unajisifu unataka nchi ya viwanda, ruhusu watanzania wapate nafasi ya kutumia vitu vipya uone km mitumba itapata nagasi.
 
Kutokana na kodi kuwa juu gari zetu Mpya ni za mwaka 2004 na huu ni mwaka 2019 aisee...Bongo ukiendesha gari ya 2017 wewe kidume...
 
Ipo hivi...cheki hiyo gari huko kwa mjapenga cif yake dolaree ngapi, badili into pesa ya madafu..hiyo utakayopata tafuta asilimia 110 yake ( yes 110%).. Hiyo ndio utakayolipa serikali..kwa hiyo bei ya cif + 110% ndio kiasi utakacho gharamika.
 
Kimola mh umenifanya nichoke asilimia 110 + cif
Aise hii mi na kumi wapi ipi na ni nini
 
we jamaa mbona unafurahisha. Hizo ziunganishweje na gharama za gari wakati gari umenunua wewe, wao wataijuaje?

Hio hesabu wanayokupa ni tofauti kabisa na gharama za gari lako toka japan.

Ukitaka kupata jumla ya gharama, chukua unayopata kwenye calculator yani kodi, jumlisha CIF (gharama ya gari mpk bandarini), jumlisha gharama za bandarini hizo atakwambia agent wako atakaye clear gari, pia jumlisha pesa ya agent atakaetoa gari bandarini.

kumbuka TRA wana formula yao ya kodi inayojenga msingi wake katika makadirio yao ya CIF ya gari husika.

Uki peak gari ambayo wao wanaikadria sokoni bei yake ni kubwa basi kodi pia itakuwa kubwa.

Kadri gari inavokuwa mpya zaidi kwa miaka ndivyo kodi pia inakuwa kubwa, kadri gari inavyokuwa luxury zaidi ndivyo kodi pia huwa kubwa

Kila la heri!
Hapa kuna harufu ya kuingia mkenge !! Maana ukiegemea calculator ya TRA tuu utajikuta unashindwa kutoa gari bandarini
 
Back
Top Bottom