Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wana jukwaa habari, Naomba mnishauri na pia kunielekeza namna ya kufungua kampuni ya umeme pia na ujenzi, niwe na nini, kiasi pia cha fedha, pia njia zipi za kufuata.Pia changamoto baada ya...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari zenu ndugu zangu ......nilikuwa naomba msaada wa ushauri na mawazo na maoni juu ya jina bora la kampuni .....nataka kuanzisha kampuni ambayo itajishunghulisha na mambo mengi kama...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari zenu wana jf . Mimi ni mwanachuo je naweza Fanya kazi gani online au wazo la biashara nnayoweza kufanya nikiwa chuo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeulizwa hilo swali na ndugu yangu aliyeko USA. Anataka kunitumia bidhaa ili niwe namuuzia hapa nchini. Naombeni mnisaidie ili niweze kumjibu na kuuweka mpango huu katika vitendo. Asanteni sana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jamvi naomba msaada kwa walio na uzoefu katika biashara hii ya magodoro faida zake na biashara yake ikoje. Pia naomba kujua namna bora ya kuwa wakala katika makampuni hayo tajwa na...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Wakuu habari za saa hizi? Kuna mashine nimewahi kuziona zinachuja/kusafisha maji pamoja na kupooza kwa ajili ya kunywa majumbani. Mimi niliona shuleni miaka ya nyuma kidogo. Naomba kujua kama...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Dar es Salaam The value of new investments dropped by 44.4 per cent last year, but the number of ventures funded by locals increased sharply, according to a new report. The National Bureau of...
1 Reactions
5 Replies
972 Views
Dunia ya leo inataka watu wanaoweza kuishi ndani yake, nikimaanisha kama wewe ni mjasiriamali na unataka kufanikiwa katika shughulizako za kijasiriamali lazima uichunguze dunia ya leo inataka...
9 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuelekea Tanzania ya Viwonder (Viwanda) ni lini tutafikia kutoa support kwa Wataalamu wetu wabuni na kutengeneza Vimashine vidogo au kubwa za kurahisisha kazi na kutengeneza ajira. Tukiwa na nia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tatizo kubwa tulilo nalo waswahili wengi ni chuki dhidi ya Matajiri. Mswahili anaweza kutuma text akisambaza kwa watu kuwa John au Juma kafulia huku akifurahia sana. Haoni madhara ya Juma kufulia...
77 Reactions
91 Replies
16K Views
Kuna siku niliwahi kusikia mamlaka ya mawasiliamo TCRA ikisema kuwa gharama za muingiliano kati ya kampuni na kampuni itashuka hadi kufikia Tsh. 10 kwa dk 1 muda muda fulani ukifika. Lakini hadi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Mimi ni mtumishi wa umma, mnamo mwezi March mwaka huu nilichukua mkopo Bayport. Kipindi hicho nilikua sijatimiza vigezo vya kwenda kopa bank na nilikua na uhitaji sana wa pesa...
0 Reactions
30 Replies
10K Views
Nataka kufahamu iwapo nilikopa pesa kwa dhamana ya mshahara Wangu, itakuwaje pindi nimefukuzwa kazi ama nimeacha kazi bila ya kumaliza deni lao? Jee hilo deni lao nani atalilipa pindi mshahara...
0 Reactions
25 Replies
9K Views
WADAU NAOMBA KUFAHAMU KATI YA KIKUU NA JUMIA YUPI ANATOA HUDUMA NZURI? NA YUPI MWENYE QUALITY NZURI?
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Kwa kweli Pepsi wamejieleza vizuri sana eti hawawezi kubeba gharama zote peke yao kwa hiyo na sisi hatuwezi; wateja wetu inabidi tubebeane, tuchukuliane tulipe kodi wote kwa ustawi wa nchi yetu.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wanajopo habari za siku nyingi na pilikapilika za kulijenga taifa letu la uchumi na viwanda . Naomba mawaziri na manaibu mawaziri waliopo humu wajaribu kufuatilia kuna wananchi kanda ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Maneno hayo utasikia yakisemwa na kijana anayejiita mjasiriamali. Sio kujiita tu hata kwenye social networks zake anajiita entrepreneur. Mtu anayeona tatizo kwenye jamii mfano scarcity ya maji...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta serious Partiner wa kufanya nae biashara ya Petrol Station. Nina kiwanja tayari chenye ukubwa wa sqm zaidi ya 3000,eneo lina future ya biashara kwa kuwa hakuna kituo cha mafuta maeneo...
7 Reactions
30 Replies
6K Views
Swali: Nawezaje kuwa Wakala wa shughuli za kutoa huduma za Bima, hasa Bima za magari Mwenye ufahamu tupe shule tafadhali
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mambo vipi? Ni siku nyingine tena tunakutana katika darasa la leo ambapo siku ya leo ningependa ni-share mambo saba ninayoamini kwa dhati kabisa iwapo utafuata basi utatengeneza pesa na kamwe...
42 Reactions
61 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…