Kaka yangu amefungua genge la matunda na viungio vya chakula amelipia kodi ya miezi sita na ndo kwanza mwezi mmoja na wiki mbili anataka aikimbie fremu
Anadai amefeli kwenye uteuzi wa location...
Mzuqa,
Miezi miwili iliyopita nilinunua smart watch kutoka Aliexpress na kusafirishwa na hawa Malaysia Post, baada ya siku 15 saa yangu ilifika South Africa sasa kila niki-track naona bado...
Wakuu naomba kujua namna na taratibu za kuuza hisa zangu za voda, kuna hela flan nahitaji sasa nimeona the last option ni kuuza hisa zangu zipatazo 1000.
Sarafu ya Tanzania imekuwa ikipata nguvu kila uchwao kutokana na juhudi za makusudi za kukuza uchumi wa Tanzania zinazofanywa na Serikali ya awamu ya 5.
''Tanzania’s shilling is expected to gain...
Fundi bomba, Plumbing & pipe fitting,s. Ninatoa huduma hii kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Maji safi na maji taka Drainage system kwa ubora wa kitaaluma na uzoefu pia sio kubahatisha...
Habarini wadau,naomba kuifahamu vizuri biashara ya rasta.
Nataka kufungua duka la reja reja,mtaji laki 5
Pia nafikiria biashara ya mabegi ya wanafunzi
NAOMBA USHAURI KWA MNAOZIFAHAMU NA...
Wataalamu Habari Ya Wakati Huu...!
Naomba kutumia neno "Wataalamu" mana naamini kuja kwenu hapa nitapata kutatua shida yangu iliyonileta.
Mimi ni kijana ambaye ndio kwanza nimeanza kuingia rasmi...
Nimeulizwa hilo swali na ndugu yangu aliyeko USA. Anataka kunitumia hizo bidhaa ili niwe namuuzia hapa nchini.
Naombeni mnisaidie ili niweze kumjibu na kuuweka mpango huu katika vitendo. Asanteni...
Habari za muda huu wakuu? Samahani naomba msaada kuhusu Calculator ya TRA, ninataka kuagiza gari sasa nimejaribu kukokotoa naona gharama inakuwa kubwa sana sasa nilitaka kujua kuhusu gharama za...
Jiji la dar-es-salaam limejaa vivuli vya kutafuta kwangu na vya watu wengi sana. Kila mtaa ninaopita naviona, najiona mwenyewe nilivyokua natembea hii mitaa, Kugonga milango kwenye ofisi za...
Ndugu zangu habari zenu, niko singida lakini natafuta soko la kuku mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, ikiwa uko na mtu ana uhitaji au wewe mwenyewe please DM me. Nitakuletea hadi mlangoni kwa idadi...
Wapendwa wanajamvi salaam sana kwenu,
Hapo mwanzo mwaka 2017 visenti vyangu viliniwasha tena nikiwa na curiosity ya kutosha nkaona haina noma, let's do it. Nilinunua vidubwasha vidogo kutoka...
Habari wadau mie nina biashara ya pembejeo za kilimo sasa changamoto ni mtaji mdogo kuliko mahitaji ya Wateja wangu. Naweza pata mtu au taasisi wa kuniinua kwa mtaji wa fedha au bidhaa za dukani...
Hi!
Jamani Mwenye uzoefu na hii biashara ya kuuza wallpapers za kubandika ukutani, kama majumbani na ofisini nahitaji kujua iko vipi, yani Unaanzaje, unachukulia wapi n. k
Tanznaia na nchi nyngine zinazolima zao la Korosho sasa kuneemeka zaidi na zao hilo kufuatia Maganda ya zao hilo ambayo awali yalikuwa yakitupwa kugundulika kuwa na Kemikali na Vitamini ambazo...
Wanabodi, Heshima kwenu
Nimefuatilia kwa ndugu, jamaa na marafiki wengi waliochukua mikopo na kununua bajaji, Bodaboda au ggari za kufanya uber na kugundua wengi hawakupata faida walioitarajia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.