Hivi kwanini Marekani ndo inawawekea vikwazo nchi zingine?

Desolver jr

New Member
Sep 19, 2017
3
3
Hivi kwann marekani ndo inawawekea vikwazo nchi zingine zinazozingua mfano iran,kwann sio nchi zingine ndo zifanye hvyo?, au hakuna kitengo cha kimataifa cha kufanya hvyo?, je kama hao marekani wakizingua vikwazo atawawekea nani?, au watajiwekea wenyewe?.

Naombeni ufafanuzi wana jf juu ya hilo.
 
tatizo ni dunia yote inatumia pesa yao,dollar na mfumo wa malipo ya kibank yaani SWIFT wao ndo wanauhodhi,so biashara nyingi zinatumia dollar na mfumo huo,kwahiyo wanaweza kufreeze pesa zozote zinazotransact kwenye mabank mbalimbali,n hii ndo maana mataifa kama russia,iran,ven na ulaya wana nia ya kuachana na matumizi ya dollar kwaani sasa marekani inaitumia dollar kama silaha ya kuwapigia nchi ambazo wanapishana nazo
 
Kilichomuondoa na kumuua Gadaffi Yalikuwa masuala haya haya ya kupinga matumizi ya dollar kama pesa ya kuuzia na kununulia mafuta. Kilichofuata ITV kilieleweka. Kile kifo Gaddafi alikitafuta mwenyewe. Yakaenda kumtoa Kwa nguvu ni majeshi ya NATO. Kwahiyo kwasasa Iran haina ujanja na Trump kaahidi kuongeza vikwazo vya juu Zaid. Rais wa Iran Rohani kakili kwenye mikutano wa umoja wa mataifa kuwa Marekani imeiwekea vikwazo Iran ambavyo haijawahi kuwekewa. Amesema Iran haitasahau hivi vikwazo. Ila kasiditiza Iran itarejea kwenye meza ya mazungumzo mpaka hapo Marekani itakapolegeza vikwazo vyake
 
tatizo ni dunia yote inatumia pesa yao,dollar na mfumo wa malipo ya kibank yaani SWIFT wao ndo wanauhodhi,so biashara nyingi zinatumia dollar na mfumo huo,kwahiyo wanaweza kufreeze pesa zozote zinazotransact kwenye mabank mbalimbali,n hii ndo maana mataifa kama russia,iran,ven na ulaya wana nia ya kuachana na matumizi ya dollar kwaani sasa marekani inaitumia dollar kama silaha ya kuwapigia nchi ambazo wanapishana nazo
Iran sahizi anasimama pekee yake bila msaada kutoka nchi yoyote Ile labda China lakini Ulaya waliokuwa wameahidi kumsaidia naona wameshamgeuka tayari. Ufaransa, Ujerumani na Uingereza hapo upande wa Iran tena baada ya kudai kwamba Iran imehusika katika kupiga mabomu katika visima vya mafuta vya Saudi Arabia. Ila Iran aliionea Saudi Arabia angejaribu apige hayo mabomu Israel ndio ungeona Moto wake. Waisrael wangeitawanya Iran katika vipande vipande
 
Back
Top Bottom