Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,585
- 3,182
Nataka kununua dawa za meno direct kutok kiwandani ili niuze kwa bei ya rejereja na jumla kwenye duka langu,anayefahamu utaratibu na mahali kiwanda kilipo tafadhali
Kipo Mbezi beach kituo Cha daladala kinaitwa Africana ukishuka hapo geti lao unaliona kando ya barabara tu.Nataka kununua dawa za meno direct kutok kiwandani ili niuze kwa bei ya rejereja na jumla kwenye duka langu,anayefahamu utaratibu na mahali kiwanda kilipo tafadhali
Hicho kiwanda jina lake kinaitwa Chemi & Cotex Industries Ltd.Kipo Mbezi beach kituo Cha daladala kinaitwa Africana ukishuka hapo geti lao unaliona kando ya barabara tu.
Kwa hiyo kila bidhaa utakua unaenda kiwandani kwake? Umewaza kuhusu muda utakaopoteza kufuata bidhaa viwandani?Nataka kununua dawa za meno direct kutok kiwandani ili niuze kwa bei ya rejereja na jumla kwenye duka langu,anayefahamu utaratibu na mahali kiwanda kilipo tafadhali
Yes! nimewazaKwa hiyo kila bidhaa utakua unaenda kiwandani kwake? Umewaza kuhusu muda utakaopoteza kufuata bidhaa viwandani?
TangaChemi n Cotex Industry. Mbezi beach African