Msaada wa fremu au kibanda Morogoro

Msaada wa fremu au kibanda Morogoro

icca

Senior Member
Joined
Nov 8, 2014
Posts
187
Reaction score
177
Salami wana jukwaa,
Nataka kufungua biashara ya mpesa morogoro,msaada wa mwemye kibanda anapangisha au fremu kwa maeneo yoyote yaliyochangamka apa mjini,
nmejitahidi kutafuta mwenyewe naona inakua ngumu,
Natanguliza shukrani.
 
Mh! Mbona ma fremu yapo kibao meengi tu, mkuu? Au labda kama una location zako unazozitaka.
 
Back
Top Bottom