Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
Nataka nijiunge hii benki ila kuna tetesi nasikia kwamba ikiwa account yako itaingiza muamala zaidi ya milioni 5 basi utatakiwa uende kwenye ofisi zao na documents za kuutetea huo muamala,
Nafanya biashara halali zenye nyaraka halali ila endapo hizi tetesi ni za kweli sitafirahia kwasababu ratiba zangu zimebana sana kupata muda kwenda kwenye ofisi zao
Je pana ukweli????
Nafanya biashara halali zenye nyaraka halali ila endapo hizi tetesi ni za kweli sitafirahia kwasababu ratiba zangu zimebana sana kupata muda kwenda kwenye ofisi zao
Je pana ukweli????