Mimi ni moja ya wafanya biashara wa simu pesa airtel money ,tigo pesa n.k.
Hii biashara zamani ilikuwa inalipa sana,kwa sasa move imepungua sana
1.wakala wako wengi sana
2.utapeli mwingi hasa km...
Mambo vipi?
Leo Jumatano Sept 11 nataka nikuonyeshe njia 5 zinazokuzuia kutengeneza pesa yakueleweka kwenye haya maisha na jinsi unavyoweza kubadilika kwa muda mfupi tu.
Nataka uone mwenyewe na...
WhatsApp 0769635970 kwa jumla, rejareja au katons kabisa, vipo vingine utajionea mwenyee kwa whatsap, Tupo kimara tunafanya kazi.na watu.kutoka sehem mbalimbali Tz
Wadau, nimefanikiwa kupata milioni kumi ivyo nipo kwenye mchakato wa kutafuta biashara nzuri ambayo itanisaidia kunipa faida kiasi flani, ninaishi kigoma mjini, nakaribisha mawazo yenye kunijenga...
Habari zenu wakuu
Kama kichwa kinavyojieleza’ hivi unahitaji mtaji wa kiasi gani ili kuanza biashara ya chakula? (Catering) ukitoa kodi la pango, I mean vyombo na nafaka
Pia changamoto zake...
Habari wakuu wa JF.
Napenda kuwatangazia na kuwafahamisha kwamba ninawezesha na kusaidia kusajili kampuni kwa njia ya mtandao kwa muda usiyozidi siku mbili . Hivyo basi nasajili kampuni za...
Sect 87 RTA...."A police officer may after stopping any motor vehicle or trailer which he reasonably suspects of being or having been (driving without having d/licence) or used or involved in the...
Wakati watalii wakiikimbia Kenya kutokana na uchafu unaosababishwa na uzembe, Tanzania imekua ndio kimbilio lao, hivyo kuchangia katika kuongeza uchumi wa nchi.
Tanzania imekua ikiongeza mauzo...
Nauza simu aina ya galaxy s6edge ni used kwa miez miwili tu ipo vzuri.
Ram gb 3
Rom gb 32
Bei laki tatu tu.(300000) biashara maelewano njoo pm usiogope.
Phone no: 0655621320
Habari za asubuhi wanajamvi
Nina mshukuru Mungu kwa kunipa uhai na pia kuniwezesha kuwa mmoja wa wanajamvi. Suala la muhususi ninahitaji ushauri wa kibiashara,
Nina laki sita hapa kwenye...
Ndugu zangu pole Na majukum pili pole kwa kuchelewa kwa ndege Yetu kule Canada, pili tusubiri makinikia,
Ila kama nilivyowaambia ninafungua project hii ni maalumu kwa mama ntilie Na watu wa...
Habari za mdaa juu wana jf,Leo nimekuja kwenu nikiomba kufahamishwa hasa juu ya gharama za uwekezaji kwenye uchimbaji mdogo wa dhahabu hasa kwa mkoa wa singida,Dodoma ,Tabora na Shinyanga...
Habar za leo wanafamilia ya jamii forums
Nimepata kamtaji kadogo kwa kudunduliza dunduliza nkawaza kufungua duka la nafaka.... nimepata sehem hapa hapa dareslam ila nahitaji kupata connection ya...
Mimi ni mwanamke mjasiriamali.
Nimewaza na Nimeamua kutafuta marafiki wafanyabiashara hasa ya madini ili tupeane uzoefu na tekniks za kuhusu hii biashara (how to handle the game).
Iwe ni kota...
FURSA SI NDO HII SASA!
Ushauri wenu wakubwa ni muhimu sana,
September mosi nina mpango wa kuanzisha kabiashara haka,
Niko dar es salaam ,
Mkopo rahis wenye mashart nafuu,
Nitaanzisha ukopeshaji...