Ubalozi wa Marekani Tanzania-watangaza fursa kwa vijana wote wenye projects au mawazo ya biashara yatakayosaidia jamii

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,550
2,000
UBALOZI WA MAREKANI TANZANIA-WATANGAZA FURSA KWA VIJANA WOTE WENYE PROJECTS AU MAWAZO YA BIASHARA YATAKAYOSAIDIA JAMIIπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’° UTAPEWA MTAJI ZAIDI YA Million.50 Tshs Kuendeleza Project Yako
_____________

U.S Embassy Tanzania-Call For Proposals 2019

Projects yako InataKiwa Iwe inalenga katika maeneo Haya

βœ… Projects za Ujasiriamali/ Biashara za jamii
βœ… Projects za maswala ya Afya
βœ… Projects za mambo ya Elimu
βœ… Projects za maendeleo ya Wanawake
βœ… Projects za maswala ya Uchumi na Maendeleo
βœ… Projects za maswala ya Ulinzi na Usalama
βœ… Project za maswala ya Demokrasia

πŸ“Œ Bonyeza Link- KUPATA MUONGOZO JINSI YA KUANDIKA PROJECT YAKO

πŸ“Œ Maombi yote yanatumwa , Ubalozi wa marekani Kama ilivyoelekezwa

Mwisho wa Maombi Deadline: July 31,2019

Bonyeza Link-JINSI YA KU-APPLY
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

_____________
Download Hii App Kupata-Fursa Nyingine Kila siku-Apply Online kwa urahisi
πŸ‘‰πŸ‘‰https://play.google.com/store/apps/details?id=com.app.unistoretz
β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬

WARNING🚨: HAKUNA MALIPO YOYOTE YANAYOHITAJIKA KATIKA KUFANYA APPLICATION YAKO

SAIDIA KUSHEA FURSA HII IWEZE KUWAFIKIA WATANZANIA WOTE WENYE UHITAJI WA UDHAMINI WA KUENDELEZA MIRADI YAO NA KIMASOMOπŸ€πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
chanzo:Copy & Paste
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
4,645
2,000
Aisee mtoa mada, hii fursa inatoka kila mwaka? Natamani na mwaka ujao itoke ili iweze kunisaidia kwenye project yangu fulani hivi.
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
4,645
2,000
Mkuu Mzizimkavu nithibitishie kwanza iwapo hizo fursa za Wamarekani hutoka kila mwaka au baada ya miaka kadhaa. Nipo serious! Nina peoject ya kufanya mwakani hivyo kutuma maombi kwa wadau kama hao kwangu siyo dhambi.
 
NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,990
2,000
Ahsante Sana Mkuu MWENYEENZI MUNGU AKUBARIKI
UBALOZI WA MAREKANI TANZANIA-WATANGAZA FURSA KWA VIJANA WOTE WENYE PROJECTS AU MAWAZO YA BIASHARA YATAKAYOSAIDIA JAMIIπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’° UTAPEWA MTAJI ZAIDI YA Million.50 Tshs Kuendeleza Project Yako
_____________

U.S Embassy Tanzania-Call For Proposals 2019

Projects yako InataKiwa Iwe inalenga katika maeneo Haya

βœ… Projects za Ujasiriamali/ Biashara za jamii
βœ… Projects za maswala ya Afya
βœ… Projects za mambo ya Elimu
βœ… Projects za maendeleo ya Wanawake
βœ… Projects za maswala ya Uchumi na Maendeleo
βœ… Projects za maswala ya Ulinzi na Usalama
βœ… Project za maswala ya Demokrasia

πŸ“Œ Bonyeza Link- KUPATA MUONGOZO JINSI YA KUANDIKA PROJECT YAKO

πŸ“Œ Maombi yote yanatumwa , Ubalozi wa marekani Kama ilivyoelekezwa

Mwisho wa Maombi Deadline: July 31,2019

Bonyeza Link-JINSI YA KU-APPLY
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

_____________
Download Hii App Kupata-Fursa Nyingine Kila siku-Apply Online kwa urahisi
πŸ‘‰πŸ‘‰https://play.google.com/store/apps/details?id=com.app.unistoretz
β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬β–¬

WARNING🚨: HAKUNA MALIPO YOYOTE YANAYOHITAJIKA KATIKA KUFANYA APPLICATION YAKO

SAIDIA KUSHEA FURSA HII IWEZE KUWAFIKIA WATANZANIA WOTE WENYE UHITAJI WA UDHAMINI WA KUENDELEZA MIRADI YAO NA KIMASOMOπŸ€πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
chanzo:Copy & Paste
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom