Habari Ndugu Zangu,
ningependa kufahamu mtu akiwa na kampuni anahitaji kulipia kodi gani na gani?
Habari Ndugu Zangu,
ningependa kufahamu mtu akiwa na kampuni anahitaji kulipia kodi gani na gani?
"Baada ya hapo wanakuoa tax clerence, ukapate lwaeni ya biashara",hii ndiyo maana ya sentensi tata katika lughaWithholding tax/stamp duty ya mkatab w pango kama umepanga ofisi ya hiyo kampuni yako
Provisional(makadirio) ya income tax, 30% ya unachofikiri itakuw faida yako katik mwaka husika. Waweza lipa mara moja au kwa quatrr 4.
Baada ya hapo wanakuoa tax clerence, ukapate lwaeni ya biashara