Msaada:Brand name kwa ajili ya Saluni yangu ya kiume

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
2,197
2,025
Habari zenu wadau wa jukwaa Hili.

Siku za karibuni nataka nifungue Saluni ya kiume(Barber shop) kwa ajili ya kuweka usafi wa mwili kwa wanaume na wanawake.

Sasa Kama unavyojua Biashara yoyote inahitaji brand name,hapa ndo nahitaji msaada wenu.

Jina liwe katika lugha yoyote ile ilimradi liwe rahisi kulitamka na kupendeza.

Karibuni.
 
- Madison Barber Shop
- Baharia Barber Shop
- Noah Allen Gentlemen's barber shop
- The Mustached Man Barber Shop
- The Men's Room Barber shop
- Men's Fine Grooming
- The Comb Over Barber Shop
- The Humble Barber Shop
- Dar es salaam Barbershop
- Tanzanite Barber shop
- Makinikia Barber shop
- Acacie Barber Shop
- Gold Star Barber Shop
- Mtemi Barber Shop
- Mfekane Barber shop
 
Habari zenu wadau wa jukwaa Hili.

Siku za karibuni nataka nifungue Saluni ya kiume(Berber shop) kwa ajili ya kuweka usafi wa mwili kwa wanaume na wanawake,
Sasa Kama unavyojuwa Biashara yoyote inahitaji brand name,hapa ndo nahitaji msaada wenu.

Jina liwe Katika lugha yoyote ile ilimradi liwe rahisi kulitamka na kupendeza.

Karibuni.
Anguko lako ndo linaaanzia hapa...kama eshindwa kuwa na vision ya brand name yako tu huko mbele utapaweza?
 
- Madison Barber Shop
- Baharia Barber Shop
- Noah Allen Gentlemen's barber shop
- The Mustached Man Barber Shop
- The Men's Room Barber shop
- Men's Fine Grooming
- The Comb Over Barber Shop
- The Humble Barber Shop
- Dar es salaam Barbershop
- Tanzanite Barber shop
- Makinikia Barber shop
- Acacie Barber Shop
- Gold Star Barber Shop
- Mtemi Barber Shop
- Mfekane Barber shop

Asante sana.
Baadhi ya brand name nimeyapenda Sana.
The Comb over Barbershop
The Humble Barbershop*
Mfekane Barbershop
 
Anguko lako ndo linaaanzia hapa...kama eshindwa kuwa na vision ya brand name yako tu huko mbele utapaweza?

Nimekuja hapa kwa lengo la kupata mawazo/ushauri wa wengine before making a decision about branding.
Haupaswi kusema anguko langu wakati mipango yangu haujaijuwa lakini pia nikuondoe wasiwasi kuwa hii Biashara Nina uzoefu nazo.
I have 2 barbershop and hii ni ya tatu.
 
Mkuu hii ndio Jamiiforums, watu wanaojua kuvunja moyo
 
Mkuu hii ndio Jamiiforums, watu wanaojua kuvunja moyo
How much we can do depends on how much we can think.
Kauli Kama hizo hazitoki kwa bahati mbaya ila ni mind mentality yake.
Wengi wetu hatujuwi power of the words ndo maana tunazungumza tu bila kutafakari laiti tungejuwa kuna tungechagua hata maneno ya kuongea.
Huyo ni masikini wa akili na Mali.
 
Anguko lako ndo linaaanzia hapa...kama eshindwa kuwa na vision ya brand name yako tu huko mbele utapaweza?
Kwa hiyo kuja kuomba msaada hapa ndio umehitimisha kuwa kashindwa na sio hatua kuelekea kwenye ushindi?
 
Back
Top Bottom