Amana Benki ya Kiislamu yaanzishwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amana Benki ya Kiislamu yaanzishwa Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Boko haram, Nov 25, 2011.

 1. Boko haram

  Boko haram JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 3,143
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: contentheading, width: 100%"]Benki ya Kiislamu yazinduliwa [/TD]
  [TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [TABLE="class: contentpaneopen"]
  [TR]
  [TD="class: createdate"] Thursday, 24 November 2011 19:30 [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD] 0digg

  Geofrey Nyang'oro
  WAFANYABIASHARA wanaofuata misingi ya dini ya Kiislamu wameanzisha benki mpya ya Kiislamu (Amana Benki L.T.D) itakayoendeshwa kwa kufuata sheria na taratibu za dini hiyo nchini.

  Benki hiyo imezinduliwa jijini Dar es Salaam jana baada ya kupata leseni ya muda kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT)Februari 4 mwaka huu na kusajiriwa ikiwa na mtaji wa Sh100 bilioni ulioidhinishwa.

  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Amana Benki, Haroon Pirmohamed aliwaambia waandishi wa habari katika hafla ya uzinduzi kuwa benki hiyo itawawezesha wafanyabiashara na makundi mbalimbali ya dini hiyo kufanya shughuli zao za kifedha bila kuathiri misingi ya imani yao.

  "Hili ni jambo la imani, hivyo huduma hii itawasaidia wafanyabiashara na watu wa makundi mbalimbali kuendesha biashara zao za kibenki bila kuathiri imani yao,"alisema Pirmohamed.

  Alifafanua kuwa pamoja na huduma zitakazotolewa na benki hiyo kufuata misingi ya dini ya Kiislamu, zitawahusu pia watu wa makundi yote wakiwamo wa dini nyingine wanaoamini katika mfumo wa kibenki unaofuata sharia.

  Alitaja moja ya misingi iliyomo katika mfumo wa sharia za Kiisilamu kuwa ni kuendesha benki isiyotoza riba.

  Parimohamed alizitaja huduma zitakazotolewa na Benki hiyo kuwa ni akaunti za akiba, akaunti ya watoto, wanawake, Hijja, hundi, biashara na akiba kwa ajili ya akiba pia na nyumba za ibada zilizosajiliwa.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]  Hatimae waislam wameanzisha benki yao iliyo chini ya sharia za kiislaam huu ni ukombozi mkubwa kwa waislaam hapa Tanzania benki yenyewe inaitwa AMANA BANK kwa mtaji wa bl 100 nawakilisha
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hongereni,maana kasi ya wenzenu ni kubwa kila dhehebu na Bank yake!
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  bora wafanye hivo vip mimi kama JAMES naruhusiwa kufungua account?????????????
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,652
  Trophy Points: 280
  Mhhh!!Labda!Lakini........
   
 5. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo Waislamu walikuwa chini ya "utumwa" hadi baadaye wakakombolewa?
   
 6. t

  thinka JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  alhamdulillah afadhal tutakua na benki isiyo kua na unyonyaji hamna riba.wote mnakaribisha nibenki inayofuata sheria za kiislam ila hata mkristo unaweza kufungua account
   
 7. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,873
  Likes Received: 1,560
  Trophy Points: 280
  vp makafir tunaruhusiwa kufungua a/c au ndio hatuna udhu..
   
 8. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwenye fedha hakuna ukafiri! Ukitaka kujua hilo peleka mchango wa kujenga msikiti uone kama watakataa!
   
 9. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Ikitokea makafiri wamefungua akaunti kwa wingi kuliko waisilamu, hapo ukombozi unakuwa uko kivipi?
   
 10. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wanakombolewa kutoka wap?
   
 11. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  tahadhari!
  kama hii bank yetu tutaiendesha kama tulivyofanya kwa taasisi nyingine mfano ile shule ya al haramain.................
  tutakua tumejiua!
  Tujaribu kuwa makini kwa hilo
   
 12. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Dah, na kweli kina James wakijazana huko kwa Amana Bank sijui itakuwaje!!!
   
 13. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  mimi nauza kiti fire,je nitaweza kuweka hela zangu huko ?
   
 14. MpigaKura

  MpigaKura JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 25, 2007
  Messages: 385
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nice move!!
  May almighty GOD keep it rolling..
   
 15. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hivi makafiri ni akina nani?
   
 16. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hongereni Muslimu
   
 17. MpigaKura

  MpigaKura JF-Expert Member

  #17
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 25, 2007
  Messages: 385
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kutoka kwenye Urban Dictionary neno kafiri (kaffir) lina maneno yafuatayo;

  1-The Afrikanns (South African) hili neno lina maana ya nigger
  Mfano:
  -Zulu: Yo, howzit my kaffir
  -Xhosa: It's good, kaffir, it's good
  -Venda: YO my kaffir heffers
  -Boer: You, my kaffir brus, howzit?

  2-Also spelled 'kafir', kaffir is a highly Arabic term used to refer to non-Muslims, though it is usually directed less against "People of the Book" (Christians and Jews) and more against others (Hindus, Buddhists, Shintoists, etc)

  Kwahiyo:
  Huenda mchangiaji alimaanisha "Marafiki" au Wasio waislamu
   
 18. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #18
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Yeah hili ni jambo ambalo lilikuwa linasubiriwa kwa muda; nafahamu Dr. Idris na Dr. Dau wameshiriki vilivyo katika kufanikisha ujio wa benki hii kitu. Nadhani Dr. Idris ana nafasi katika utawala. Ni mafanikio ya aina yake nchini japo tayari kuna benki nyingine za kawaida ambazo zinatoa pia huduma kama hii sijui ushindani utakuwaje sasa.
   
 19. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #19
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Tufahamisheni, kama benki haitozi riba inaweza vipi kuendesha shughuli zake za kila siku.
   
 20. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #20
  Nov 26, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  sasa na mikopo inatoa bila riba nije?sababu hilo ndilo lamuhimu sana..nikikopa 10Million baaaa ya 3yrs narudisha 10Million.hapo hata kesho nakuja..
   
Loading...