Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nani anajua mji wa Fumba town. Mnajua kama kampuni hiyo inaweza kuaminika au hapana ? Nani ameshanunua nyumba huko ?
1 Reactions
12 Replies
4K Views
VITU VIDOGO VINAVYO KERA NA KUFUKUZA WATEJA AMBAVYO NGUMU SANA KUAMBIWA NA MTEJA Nmekuwa nikifuatilia mara nyingi vitu ambavyo ni vidogo lakini vinafukuza sana wateja endapo mteja akikumbana navyo...
18 Reactions
29 Replies
7K Views
Kuna mdau kani Pm ana lalamika kwamba kila anacho kainzisha kinakufa yaani akianza hiki kinakufa na akianza kile kinakufa. Kwanza kwa Mawazo yangu swala la kufa Biashara ni la kawaida sana make...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kaz bora na nzir za ujenzi wasiliana nami Call 0754094572
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Na huko katavi nimesikia gunia la mahindi ni 80000 kitu ambacho hata wakulima wa huko huko nao wanashangaa.. Narudia kusema tutashaa..
1 Reactions
54 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu, Kutokana na changamoto ya ajira nataka nijikusanye kamtaji kidogo nifungue stationary Mbeya haswa Mbeya Mjini. Naomba mtu yoyote anayejua location ambayo anahisi hii biashara...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Msaada jamani kwa anaefahamu sehemu wanauza chocolate chips (dark/ white) anifahamishe tafadhali
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Nimekuwa na biashara ya kufuga kuku wa mayai bahati mbaya nikauguliwa na mzazi nikauza kila kitu kilicho kuwa kinaweza kuuzika nikamuhudumia, hichi kimenifanya nirudi 0 ila namshukuru mungu mzazi...
11 Reactions
146 Replies
21K Views
Mimi ni shabiki mkubwa sana wa kushop online. Mara nyingi ninapohitaji vitu kama nguo, begi hata viatu, naingia zangu mtandaoni nanunua chapchap mambo yanaenda. Juzi kati hapa ndo nikaamini kuwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau tushauriane bidhaa nzuri zinazovutia wateja na kulifanya duka kuwa nadhifu hivyo kuongeza thamani. Kwa maduka ya reja reja ya mtaji wa kati
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Kama kichwa kinavyosema, huu ni uzi wa kupeana mchongo wa namna ya kuwapata wasanii mbalimbali ili kuwatumia katika biashara mfano za kujipromote au kuandaa tamasha. Pia tusaidiane kuunganisha...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Greetings my brothers and sisters! Natumaini mpo vizuri. Kama kawaida nipo hapa ku-share darasa muhimu kabisa kwa lengo lengo moja tu kukusaidia kuboresha life yako hasahasa financially. Kama...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana JF, naomba kuuliza jambo nisaidiwe, Nina wazo labiashara ambalo ninalo kwa miaka kama 8 sasa(jAPO YAPO NA mENGINE), Kwa Mtaji wa Milioni 250 BIashara Kila siku inaingiza Wastani wa...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
Samahani wakuu naomba kupata uelewa kuhusu hii benki (Exim bank), vigezo gani natakiwa kuwa navyo kufungua akaunti, mazuri na mabaya yake kwa upande wa miamala ya fedha lakini pia utunzaji fedha...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Wadau, Nakuja kwenu kupata uzoefu wenu juu ya gharama za Kuweka Gypsum na tiles kwenye Nyumba ya urefu wa Mita 14 kwa 11 upana. Nyumba yenyewe ni box; Yaani inalingana yote kama vipimo jinsi...
1 Reactions
47 Replies
48K Views
Kuna kampuni nataka niingie nao mkataba wa kuwafanyia kazi ila wanalipa kwa njia tajwa tatu 1. Webmoney 2. Paxum 3. ePayments. Ni ipi kati ya hizi njia zinakubali kufanya miamala ya kutoa pesa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanabodi, Nimevutiwa na biashara ya mbao ngumu hasa mkongo na mninga (mbao kama mbao, sio furniture). Ningependa kujua pros and cons za hii biashara, soko lake, vibali na leseni husika, na...
3 Reactions
21 Replies
11K Views
UTANGULIZI unaendelea... Kama mhasibu, niliona kucheza mchezo unaohitaji taarifa ya mapato (income statement) na mizania (balance sheet) ilikuwa rahisi sana. Kwa hiyo nilipata muda wa kumsaidia...
7 Reactions
6 Replies
4K Views
Ni kadi mpya, unapewa ukiwa na pesa ya kutosha bank. Niki sema pesa si vi chenji ni pesa ya kweli. Haina limits na inakubalika sehemu yeyote. Dunia ya wenye pesa inatutenga.
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Nasikia wauzaji wengi wa mapochi ya mtumba Instagram wananunua Karume. Na sisi tunaotaka kuanza biashara ya mapochi tunawapataje watu hao? Nimewahi kuzunguka kweli Karume lakini nikaambulia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…