Habari wanajamvi,kama kuna mtu ana mchele mzuri kwa bei ya jumla tuwasiliane nauhitaji kwaajili ya kuuza kwa rejareja katika fremu .napatikana morogoro mjini
Asanteni
Habari wadau,kama kuna anayefahamu fremu nzuri ambayo unaweza kuweka duka la rejareja ,nafaka pamoja na bidhaa zingine ndogo tuwasiliane kwa bei ya 60-80 kwa mwezi iwe eneo karibu na makazi ya...
Habari wana jamii forum!!! Samaha mimi nina mkopo katika kampuni la Faidika nataka kuhamishia NMB.... na nimekwenda FAIDIKA wanipe balance wananizungusha tu . Naomba msaada nifanye nini kwa wale...
Katika pita pita zangu huku whatsapp kuna mtu aka share hii company ya DIAMOND TRADERS INVESTMENT PROGRAM nikamfuata akanipa namba za mwenyekiti wa hiyo company ambapo una wekeza kiasi fulani...
Mm ni mwalimu npo mbeya mjini na mshahara wang kwa sasa take hom ni kama 350 iv, nataka kukopoa NMB kiasi tajwa kwa ajili ya kufungua kibanda cha mahitaji ya kawaida ya majumbani, location...
Watanzania, baada ya kuhangaika kutafuta ajira na kushindwa, nimeamua kuanzisha biashara ya M-Pesa.Tafadhali mwenye uzoefu na hii biashara naomba anifahamishe yafuatayo:
1.Mtaji wa kuanzia
2...
Habari za wakati huu,
Napenda kuwapa njia bora ya kuongeza thamani wa bidhaa na mvuto kwa wateja hasa bidhaa za kufungasha.
Hapa njia nayozungumzia ni kuweka lebo, najua wengi mnaweka lakini...
Natafuta Business partners, basically iOS developers. I need at least two apps created every month and to be placed on Apple Store. We will help each other as i have JS knowledge, i just started...
Naombeni msaada wenu kwa mwenye uzoefu wa kupokea mizigo kutoka Ali express niliagiza kitu kutoka China leo nimetrack nakuona ujumbe huo je mzigo wangu ndo umeshafika au laa! !na kama tayari...
Jamani kuna watu mpaka leo hii wanaona biashara mtandaoni ni wazo la kusadikika, kuna watu kila kukicha wanatengeneza hela nyingi sana kwa kutumia fursa hii ya bishara mtandaoni. Mfano mdogo tu...
Habari wana jf,
Mimi ni dada, elimu yangu ni Bachelor ya Business Administration in Accounting, kwa sasa ni mwajiriwa kwenye kampuni moja kubwa tu hapa Dar kama Payroll Accountant. Mbali na...
Habari wakuu?
Naomba niende kwenye hoja ya msingi,
Kuna mzigo nimeagiza kutoka china, sasa umekaribia kufika... wakati nafikiria jinsi ya kuutoa bandarini, nikakumbuka kuna kipindi lilitoka...
SADC Member anaingia mkataba na China bila mapatano na Member wengine wa SADC, je hii haiwezi kuharibu mfumo wa kodi wa nchi nyingine?
Biashara kati ya nchi za SADC haina import duties, only VAT...
Habari wana jamvi.
Nilikuwa kwenye pita pita yangu mtandaoni kuhusiana na mikopo, nikakutana na Hazina Saccos Tanzania.
Miongoni mwa vitu vilivyonivutia ni pamoja na riba ndogo walizoziweka...
Wadau habari za jioni ,nadhani wote Ni wazima wa afya na mnaendelea vyema na shughuli za uzalishaji Mali.
Nahitaji msaada ,Kwa yoyote mwenye soft copy ya kitabu chochote kinachohusiana na...
Siku hizi ni kama fashion kijana akipata milion 20 anakimbilia China anaenda kuzoa uchafu huko analeta Tanzania
80% ya bidhaa za viwandani zinazoingia Tanzania zinatokea China
Miradi ya ujenzi wa...
Kuna dalili zinazoonyesha ule uchumi wa kijamaa wa mashirika ya serikali kufanya biashara taratibu inaanza kurejeshwa.
Biashara ya Clearing and forwarding imeajiri watu wengi na ni sekta huru kwa...