Msaada wazo la biashara, nina mtaji wa milioni 20

MR UNINFORMED

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
1,067
1,204
Wadau...nawaomba msaada wa wazo la biashara. Nina 20 million cash kwa account.

Mie ni mfanyakazi...kazi yangu inanibana sana...lakin nafanya kazi kwa siku 5 kwa wiki...na mara nyingine kusafir kwa muda mrefu mikoani. Sina idea na mambo ya biashara lakin nataman kufanya biashara ili kuongeza kipato.

Kwa mazingira hayo nliyoelezea hapo juu...kwa maoni yako..unadhan biashara gan inaweza kunifaaa....nashukuru kwa maoni yako ....! Karibuni!

Nenda soko la Hisa la Dar es salaam,kanunue hisa za kampuni yoyote inayofanya vizuri sokoni usubiri gawio lako.Ni ushauri tu kulingana na nature ya kazi yako.Biashara inataka mud wa kuisimamia,utaajiri vijana wa kitanzania wenyewe wavivu mwisho utalamba za uso.

Kama hutajali unaweza kunitafuta kwenye WhatsApp +255685517773.Naweza kukupatia mawazo kadhaa then uchague la kufanyia kazi

Nenda soko la Hisa la Dar es salaam,kanunue hisa za kampuni yoyote inayofanya vizuri sokoni usubiri gawio lako.Ni ushauri tu kulingana na nature ya kazi yako.Biashara inataka mud wa kuisimamia,utaajiri vijana wa kitanzania wenyewe wavivu mwisho utalamba za uso.

Asante sana kwa maoni yako...lakin niseme nimefurahishwa uliponikumbusha uvivu wa vijana wenzangu wa kiswazi!!

Mimi kwangu dill na uaindikaji wa unga. Nunua mashine mbili ya kukoboa na kusaga 2.8mil. Motor hp40 mbili 3mil starter mbilli laki 8. Umeme 2mil. Tafuta frem mbili lipa miezi sita kwanza letsay 2mil. Tengeza nembo sajili,kampun. Mpaka hapo usizid milion kumi. Inayobaki nunua mahindi anza kusaga na kupack. Soko lipo kubwa sana dar. Unga jumla unauzwa 23000. Mahind jumla 550 ya kibaigwa ya songea usijaribu yanatoa unga kidogo. Kwani tone kumi wastan wa faida ni kuanzia laki sita mpk milion bila pumba. Pumba faida ni wastan wa laki mbili. Kwa siku ukiwa na mahindi na machine nzur unaweza koboa na kusaga wastan wa tan ishirin mpk thelathin. Kwa mwez ukifanya kazi vizur hoping hutakosa milion tano faida na kuendelea.

Ushauri mzuri mkuu, we unasagia wapi?

Wadau...nawaomba msaada wa wazo la biashara. Nina 20 million cash kwa account.

Mie ni mfanyakazi...kazi yangu inanibana sana...lakin nafanya kazi kwa siku 5 kwa wiki...na mara nyingine kusafir kwa muda mrefu mikoani. Sina idea na mambo ya biashara lakin nataman kufanya biashara ili kuongeza kipato.

Kwa mazingira hayo nliyoelezea hapo juu...kwa maoni yako..unadhan biashara gan inaweza kunifaaa....nashukuru kwa maoni yako ....! Karibuni!

Kwa faida ya wengine pia hili suala la mawazo ya biashara naona linakua kwa kasi sana na hii siwalaumu sana wanaoomba mawazo ila hakuna mfumo mzuri wa kutoa elimu ya biashara kwa wale ambao watahitaji kufanya biashara, Wazo la biashara huwa sio kitu cha kuomba upewe na mtu mwingine ila liboreshwe na mtu mwingine na hakuna mtu asiekuwa na wazo la biashara,kila mtu anawazo lake la biashara lakini aidha unaliogopa au unaliona ni kubwa kulifanya, nitatoa sababu kwanini sio sahihi kuomba wazo la biashara ila kuomba liboreshwe.

1. Kila mtu anamawazo yake na kila mtu ananjia zake za kufanikiwa hivyo iwapo utaomba wazo mtu atakupa wazo ambalo aliliwaza kwake litamfanikisha au ni wazo ambalo analiona litafanya kazi kwake, lakini sio kwaajili yako ni yake atakwambia anachowaza kitaweza kufanya kazi kwake hivyo mfano: ukisema una milioni 20 na unatafuta wazo la biashara. Ataiweka katika mipango yake na uwezeshaji wake ikitosha atawambia lakini ni tofauti kwako.. wewe ukisema milioni 20 unategemea fresh idea na ambayo itakuwa na watu ambao wanajulikana ili kufanya nao kazi lakini kiuhalisia unapoanza ni lazima uanze kidogo kidogo na kutafuta sehemu ambazo gharama ni nafuu ili kupunguza gharama za kurasmisha hivyo mpaka hapo itakuwa iko tofauti sana na wewe japo linaweza kuwa wazo zuri lakini sio la kwako, la kwako unalo kichwani aidha unaliogopa au unalidharau.

Kaa chini jisikilize fuata taratibu za jinsi ya kupata wazo la biashara kisha anza kulifanyia kazi,usitafute pesa kwanza ndio ufikirie wazo la biashara, pata wazo kwanza halafu pesa itakuja kujaza kulingana na wazo lako na uhitaji, mfano unasema una milioni 20 ukapata wazo la kufungua biashara kariakoo frem ni mil 3 - 7 kwa mwaka, kuitengeneza iwe kama unavyotaka milioni 2 - 5, kununua biashara yenyewe milioni 5 - 15, kulipia ada mbali mbali?kumlip wa kukusaidi kazi?,Bado biashara haijaingiza hasara? mwanzo biashara huwa hailipi ila unailipa,utajikuta umepoteza kila kitu. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na jinsi ya kupata wazo la biashara na ujasiriamali tembelea elishachuma.blogspot.com au humu humu JF kwa jina la Elisha Chuma utapata elimu itakayokupa mwanga wakuanzia.

http://tzexchange.blogspot.com/2015/11/tanzania-bank-issues-first-ever-retail.html

Exim Bank Tanzania on Monday issued to the public the first ever retail bond in a move designed to raise 15bn/- to boost its capital.

?This is the first-of-its-kind bond that permits investors with as little as 1m/- to invest in bonds to be listed on the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE),? said Mr Selemani Ponda, Exim Bank Chief Finance Officer.

The bonds will offer investors guaranteed annual tax free interest of of 14 per cent payable half yearly for a period of 6 years. Further, Investors may use their Bonds as collateral for any borrowings (including from the Issuer) in accordance with the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) rules.

He said the bond offers small and medium size investors who does not have investment opportunities similar to those available to large investors and corporates. He said the bond targets large and small savers, wholesale and retail investors.

?As with many of our pioneering initiatives, this public Issue of bond demonstrates Exim Bank?s innovation in developing Debt and Capital Market in Tanzania and work towards achieving financial inclusion in the country,? he said.

?We are delighted to be launching our first-ever retail bonds to investors in Tanzania.

?I am confident that this offer will appeal to retail investors, with attractive yield and ability to trade on DSE as well as using the instrument as security for obtaining credit facilities from various institutions whilst give valuable opportunity to participate in growth story of one of the top 5 local leading bank in Tanzania,? Said Mr Ponda, the CFO.

With a minimum face value of 1m/-, a tax free 14 per cent per annum interest is very competitive compared to current rates on small ticket fixed deposits which offers average interest rate of eight per annum.

The bonds will also be traded on the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE), offering liquidity to investors. Bonds are securities issued by a borrower, in this case the Exim Bank Tanzania.

In turn, the bank undertakes to pay a set amount of interest after each six months for the lifetime of the bond. The money is returned to the investor on maturity. CORE Securities Managing Director, Mr George Fumbuka, whose company is the bond?s sale lead-manager said the Public Offer was open for subscription yesterday and close on 18th December, 2015.

?Applications for the Public Offer may be made via mobile phones by dialing *150*36#, pointing to the growing relevance of mobile money solutions in the evolving payments space and also various appointed placing agents as well as Exim Bank branches spread across the country.

The minimum investment amount under the Public Offer is one 1m/- or higher amounts in integral multiples of 1m/-,? he said. Mr Fumbuka said that core Securities Limited, as the market makers, are willing to buy or sell the bonds to subscribers at any given time.

Kwa faida ya wengine pia hili suala la mawazo ya biashara naona linakua kwa kasi sana na hii siwalaumu sana wanaoomba mawazo ila hakuna mfumo mzuri wa kutoa elimu ya biashara kwa wale ambao watahitaji kufanya biashara, Wazo la biashara huwa sio kitu cha kuomba upewe na mtu mwingine ila liboreshwe na mtu mwingine na hakuna mtu asiekuwa na wazo la biashara,kila mtu anawazo lake la biashara lakini aidha unaliogopa au unaliona ni kubwa kulifanya, nitatoa sababu kwanini sio sahihi kuomba wazo la biashara ila kuomba liboreshwe.

1. Kila mtu anamawazo yake na kila mtu ananjia zake za kufanikiwa hivyo iwapo utaomba wazo mtu atakupa wazo ambalo aliliwaza kwake litamfanikisha au ni wazo ambalo analiona litafanya kazi kwake, lakini sio kwaajili yako ni yake atakwambia anachowaza kitaweza kufanya kazi kwake hivyo mfano: ukisema una milioni 20 na unatafuta wazo la biashara. Ataiweka katika mipango yake na uwezeshaji wake ikitosha atawambia lakini ni tofauti kwako.. wewe ukisema milioni 20 unategemea fresh idea na ambayo itakuwa na watu ambao wanajulikana ili kufanya nao kazi lakini kiuhalisia unapoanza ni lazima uanze kidogo kidogo na kutafuta sehemu ambazo gharama ni nafuu ili kupunguza gharama za kurasmisha hivyo mpaka hapo itakuwa iko tofauti sana na wewe japo linaweza kuwa wazo zuri lakini sio la kwako, la kwako unalo kichwani aidha unaliogopa au unalidharau.

Kaa chini jisikilize fuata taratibu za jinsi ya kupata wazo la biashara kisha anza kulifanyia kazi,usitafute pesa kwanza ndio ufikirie wazo la biashara, pata wazo kwanza halafu pesa itakuja kujaza kulingana na wazo lako na uhitaji, mfano unasema una milioni 20 ukapata wazo la kufungua biashara kariakoo frem ni mil 3 - 7 kwa mwaka, kuitengeneza iwe kama unavyotaka milioni 2 - 5, kununua biashara yenyewe milioni 5 - 15, kulipia ada mbali mbali?kumlip wa kukusaidi kazi?,Bado biashara haijaingiza hasara? mwanzo biashara huwa hailipi ila unailipa,utajikuta umepoteza kila kitu. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na jinsi ya kupata wazo la biashara na ujasiriamali tembelea elishachuma.blogspot.com au humu humu JF kwa jina la Elisha Chuma utapata elimu itakayokupa mwanga wakuanzia.

Asante sana chief. Nimekuelewa vema sana....sina cha kuongeza zaidi ya kusema asante sana...kwa kunisaidia kutoka njee ya box.

Wadau...nawaomba msaada wa wazo la biashara. Nina 20 million cash kwa account.

Mie ni mfanyakazi...kazi yangu inanibana sana...lakin nafanya kazi kwa siku 5 kwa wiki...na mara nyingine kusafir kwa muda mrefu mikoani. Sina idea na mambo ya biashara lakin nataman kufanya biashara ili kuongeza kipato.

Kwa mazingira hayo nliyoelezea hapo juu...kwa maoni yako..unadhan biashara gan inaweza kunifaaa....nashukuru kwa maoni yako ....! Karibuni!

Nichek whatsap 0658936439 nikushirikishe mambo machache then utachagua mwenyew

mkuu, ishu ya kununua hisa sikushauri, kibongo bongo hazieleweki, hazina tija,
mimi labda naona wazo zuri ni kufungua biashara ambayo hitahitaji control kubwa na usimamizi mkubwa
biashara hii naona fanya ku supply vitu kama vinywaji vya jumla (maji, soda, bia) hii ku chek stock na hesabu ni simple ukimuacha kijana mchapa kazi, wapo vijana wengi mtaani desperate kupata kazi, chagua mtu mchapakazi!
ili mambo yawe simple ongea na watu wenye baa, maduka na grocery uwe unawaletea
ku entice wanunue vizuri waambie ukiwa mteja mzuri wa mara kwa mara na mwenye biashara yenye afya utakuwa una supply kwa credit, nunua au kodisha hata ki gari au pikipiki ya matairi matatu kwa ajili ya kufanya supply

hao wanaosema uwafuate WhatsApp, au kwenye blog au inbox nashindwa kuwaelewa, kwamba wameshindwa ku type hapa jf, ili wakosolewe au mawazo yao yapongezwe na kupewa nyongeza?
jf ni kwa faida ya wote

Mtaji wa kwanza ni wazo, ukiwa na wazo bora lenye tija na ubunifu wa kutosha, basi viwezeshi ikiwemo fedha na watu vinapatikana tu.
Mawazo yapo mengi ila kunatakiwa utayari wa kufanya biashara kwa ubia na watu makini utafanikiwa....

Mimi nina sehemu 2 ukitaka njoo tuungane tufungue kampuni ya usagaji na nafaka, SEMBE sehem 1 iko tayari mpaka umeme upande wa 2 kuna godown bado iko umaliziaji, napatikana Pwani, nicheki pm ukivutiwa

Wajasiliamali wenzangu,I kuna kwajiliiwa ambako kumechua asilimia 90 ya raia wote duniani, kujiajiri ambako kumechukua asilimia 5,kufanya biashara asilimia 3, na uwekezaji ni asilimia 2 tu..
Lakini ktk uhalisia hii asilimia mbili ndiyo inaamua maisha yetu ikifuatiwa na hii tatu ya wafanya biashara... Hawa ndiyo wanasema ule vip, uvae vp, usafiri vp, utibiwe vp na mengine mengi...
Tujifunze kuwa wabunifu maana bila ubunifu hakuna uhuru wa kipato,

Back
Top Bottom