Msaada namna ya kupata leseni ya biashara kama ile ya Kikuu

Msukule Msafi

Member
Oct 10, 2018
55
45
Habari wakuu natumai ni wazima. Nilikuwa naomba nipate muangaza kidogo kuhusiana na upataji wa leseni ya biashara aina yenyewe ya biashara ni kama ile ya Kikuu.

Nimejaribu kuuliza inasemekana Manispaa hawatoi leseni hiyo hadi Wizarani. Je Wizara gani na je kuna anayefahamu aidha utaratibu wa kupata leseni ya aina hiyo?

Nawasilisha.
 
E-commerce...!

Enda Brela, TCRA, TRA ama huko wizara ya kilimo na biashara ulikoambiwa..!

KWA UELEWA WANGU MFUPI
 
Back
Top Bottom