Unataka kufanya kazi zako Online ukiwa nyumbani? Soma hapa

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
767
1,655
Greetings everybody!

Ni tumaini langu weekend yako inaenda vizuri.

Leo tunakutana tena ambapo kama ada nakupatia darasa muhimu kabisa katika eneo la online money making.

Leo nataka nikuonyeshe mbinu Sita 6 zakutumia ili uwe productive wewe mjasiriamali wa mtandaoni unayefanyia kazi zako kutokea nyumbani.

Niseme wazi hii idea ya “work form home” ni ndoto ya watu wengi.

Na kinachowafanya watu wengi kutamani kuishi Hii lifestyles ni freedom.

Hebu wazia hivi.

Unaamka unaangalia emails, unajibu kadhaa, unaangalia calendar kama kuna kazi muhimu yakufanya siku ya leo, labda kupiga simu kwa businesss partner?....au kuna malipo yanapaswa kufanya na client siku ya leo au baadae jioni unatakiwa utoe consultation kwa client wako aliyekulipa akihitaji kujifunza ujuzi toka kwako.

Na unajua nini?

.....unafanya haya ukiwa ndani ya pajama ndani ya nyumba yako kwa muda unaotaka wewe.

Nani asiopenda lifestyle ya namna hii?

Sasa kwasababu watu wengi wanapenda Hii lifestyle nimeona niandike muongozo nini cha kufanya ili uweze kuwa productive ukifanyia kazi toka nyumbani.

Huu muongozo ni muhimu kwasababu mbali na hii idea ya work from home kuonekana ni rahisi inachangamoto zake na kama hujajipanga utashindwa baada muda mfupi.

Soma hadi mwisho ili uelewe.

Tuanze.

1 • Tengeneza office ndogo hapo nyumbani.

Yes.

Hii ni muhimu sana.

Watu wanaoanza wanafikiri kwasababu unafanya kazi toka nyumbani basi utakuwa unafayia kazi zako kitandani.

Ndiyo hiyo inawezekana lakini ukifanya hivyo hautakuwa motived na utaishia kufanya kazi kwa kiwango kidogo.

Trust me, hii idea yakufanyia kazi kitandani haitakufikisha popote. Ni aina fulani hivi ya uvivu.

Ili uwe productive inabidi sehemu yako unayofanyia kazi ionekane kama office hapo nyumbani.

Unaweza ukawa na meza ndogo na kiti lakini pia sehemu hii kama ukiweza kuitenganisha na personal space basi utaona productivity yako inaenda juu.

Kwa wale wanaoweza kununua boards maalumu zakutenganisha vyumba hiyo ni nzuri zaidi. Sehemu yako ya unayofanyia kazi itaonekana smart na ukiingia hapo kupiga kazi utakuwa serious zaidi.

2 • Weka vitu katika mpangilio.

Binafsi mimi ni organized person.

Workspace yangu nahakikisha ni very organized kwasababu mazingira ya namna hii yananifanya kuwa motived zaidi.

Ni muhimu kuweka vitabu, papers, pens, pencils na vitu vingine unavyotumia kwa mpangilio.

Office yako ikiwa kila kitu kimerushwarushwa kila sehemu bila mpangilio punde utaokimbia office yako kwasababu hapavutii.

Na kama ujuavyo kufanya kazi sehemu isiyovutia inashusha sana productivity.

I ask you to get organized a little bit. Ten minutes inatosha kabisa kupanga vizuri office yako.

3 • Get Dressed for Success

Ndiyo.

Ukitaka kuwa motived angali unafanyia kazi zako toka nyumbani basi huna budi kuvaa smart kama vile uvyovaa ukihudhuria seminars au tukio lolote official.

Unajua ukivaa smart inakupa ile mood yakutaka kuonekana. Na kwa muktadha huu Hii mood itakufanya ukae ofisini kwako na kufanya kazi kama professional na siyo blah blah.

Zipo hadi research zinazothibitisha uhusiano wa kuvaa kinadhifu na kuwa motived kwa wote wanaofanyia kazi toka nyumbani.

Kwanini sasa usijaribu hii?

Unaamka asubuhi. Unajiweka safi, unavaa mavazi nadhifu tayari kuikabili siku yako kama ilivyo.

Ni jambo linalowezekana ukiamua kuzingatia kweli.

4• Panga ratiba ya msosi kwa wiki.

Msosi tena?

Yep.

Unajua ukiwa unafanyia kazi nyumbani kuna distractions nyingi sana.

Na moja ya mambo yanayokula muda na kuweza kukutoa kwenye focus ya kazi ni swala la msosi.

Kwa wanaopika nashauri jua kabisa wiki inayoanza unaenda kula nini. Nunua mahitaji na uwe unapika chakula kingi usisumbuke kupika mara kwa mara.

Pia ukipika chakula cha kutosha labda tuseme siku nzima hautasumbuka kuosha vyombo au kazi ndogo ndogo zinazofanyika jikoni.

5 • Nenda kafanyie kazi zako sehemu nyingine mara mbili kwa wiki.

Yes, Hii ni mbinu nyingine yakuwa motived.

Ukifanya kazi nyumbani kwako wiki nzima mwenyewe utachoka na utahisi kulemewa. Lakini ukiamua kwa mfano kila ijumaa unaenda kufanyia kazi zako katika restaurant fulani iliyotulia. Je, hiyo itabadilisha mood yako kwa namna gani?

Binafsi nafanyia kazi zangu nje ya home angalau mara mbili kwa wiki.

Nabeba laptop yangu naenda sehemu nzuri natulia napiga kazi.

Nikifanya hivi nakuwa motived sana.

Unaweza kujaribu hii na wewe.

Itakusaidia 100%

6 • Muhimu zaidi: Fahamu muda wakufunga kazi.

Ok.

Mbinu ya mwisho itakayokusaidia kuwa motived ni kufahamu muda gani usiendelee tena na kazi kwa siku husika.

Unajua ukiwa unafanyia kazi nyumbani wakati mwingine unajikuta unafanya kazi hadi usiku wa manane bila kupumzika.

Hii si nzuri kwa Afya ya akili na mwili wako.

Unahitaji kuwa na kiasi.

Kwasababu ukifanya kazi sana na akili ikichoka na wewe unalazimisha basi hiyo kazi itakuwa na makosa mengi.

Jipangia muda wakufanya kazi zako hapo nyumbani.

Labda unapiga kazi kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 6 mchana unafunga siku. Ni wewe tu na vipaumbele ulivyojiwekea.

Binafsi napenda kufanya kazi asubuhi mapema hasahasa kuandika.

Muda huu nakuwa na clear mind na ninaweza kutafakari kwa upana kwahiyo maneno yakuandika yanakuja tu bila kutumia nguvu nyingi kufikiri.

Ikifika saa Sita distractions zinaanza kwasababu ninafanya business nyingine zinazonilazimu kukutana na watu.

Kwa kumalizia niseme tu iwapo utazingatia mbinu nilizozotoa basi ni rahisi sana kuwa productive ukifanya kazi zako toka nyumbani kwako.

Hii ni muhimu kwa beginner au hata wanaofanya kazi zao toka nyumbani kwa muda mrefu lakini wanapata tabu kuwa productive.

Ok ngoja niishie hapa.

Tukutane tena wakati mwingine kwa topic amazing kama hii.

Global Citizen
 
Uko kwenye mstari
 
Uko kwenye mstari

Asante mkuu. Sasa hivi nimeamua nianzishe blog ndogo ili yeyote anayetaka kusoma makala kama hizi kwa kina asome katika mpangilio mzuri.

Let me know if you are interested and I wish blog address. Hapa JF siruhusiwi kuweka link
 
Mkuu, ungeweka hapa websites kadhaa atlst watu wapate idea kwamba ni web gani wanaweza anzia kufanya hzo mambo etc.

Mkuu kufanyia kazi zako online ukiwa nyumbani haimaanishi tu kujiunga kwenye websites fulani.

Hapa naongelea online entrepreneur anayejaribu kuunda brand yake Online.

Kwa mfano mimi start up yangu ni Online Hustle Tz.

Uki- search google utaona blog ndogo niliyoanzisha lakini inayotembelewa na watu wengi kwasababu ya makala ninazoandika.

Hapo naunda brand yangu kama blogger lakini pia nafundisha watu jinsi yakuanza Online Business, jinsi yakuwa productive.....yaani na cover area yote ya Online money making.

Kama hujaelewa uliza tena???
 
Ngoja nikaitazame hiyo blog

Umeanza Intro vizuri nikajua kuna cha maana kinachofata ila zaidi ni porojo tu.

Atleast you would have shown us what are the online sources ambazo mtu atapiga kazi ili alipwe hizo hela, kimsingi hakuna mtu ambaye hajui kuwa atahitaji meza ya kuweka PC au Desktop na peripherals zake unless target yako ilikuwa ni kuongeza viewers kwenye blog yako.
 
Back
Top Bottom