Kwa mwenye uhitaji anipigie 0684101707, nimeweka picha hapo haijakamilika sina picha nyingi maana nilikifungua pindi tu nimejifungua, kitanda kina hali nzuri,
🔥🔥OFFER OFFER OFFER OFFER🔥🔥
Nokia 106 New
Bei za jumla
Tsh17,500/=kuanzia pc5
Tsh17,000/=kuanzia pc10
Tsh16,500/=Kuanzia pc20
Rejareja:22,000/=
Brand: new
Batter: 1000mAh...
Nokia 106 New
Bei za jumla
Tsh17,500/=kuanzia pc5
Tsh17,000/=kuanzia pc10
Tsh16,500/=Kuanzia pc20
Rejareja:22,000/=
Brand: new
Batter: 1000mAh
Cont:+255682697124Call/whatsapp...
Seeking Investment for High-Impact Holding Company – A Long-Term Opportunity to Build a Multibillion-Dollar Business
We are founders of a private holding company in its early stages. We are...
Wana JF uliza swali lako lolote kuhusu madini, mafuta na gas, kuanzia njisi yanavyojitengeneza ardhini, kufanyiwa utafiti, kuchibwa hadi kuuzwa nawe utajibiwa na mtaalamu wako hapo.
Habari zenu waungwana, nawasilisha wazo langu la kibiashara ili nipate mawazo Kwa wazoefu na hata wasio wazoefu wa biashara hizo, lengo ni kujifunza na kupata mawazo ya wengine.
Nina wazo la...
Habari ndugu zangu,
Naomba ushauri juu ya jinsi ya kununua viatu vya wanawake vyenye ubora kutoka China kuja Tanzania kwa bei nzuri.
Je, kuna mtu yeyote mwenye mawasiliano ya wauzaji wa...
Wakuu Habari ya muda huu. Naombeni msaada mwenye uzoefu wa biashara hii ya Bajaji atushauri. Tumenunua Bajaji 5 mwaka 2021.
Na mpaka Sasa zimefanikiwa kufanya kazi mwaka 1 na miez 5 tu. Bajaji...
Tupeni ushauri wa mishe zinazoweza kumtoa mtu angalau faida milion 3 kwa mwezi tujifunze sisi tuliokomea huku chini🤣 mimi huwa naheshimh sana mtu anayeweza kutafuta pesa mwenyewe , mtu mwenye...
Kwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi.
Nina miezi mitatu sasa natrade...
Habari za muda wadau,
Nimekuwa interested na umiliki wa play station kwa Matumizi binafsi ya PS4. Kwa sasa ila nina Mawazo ya kuja kufungua biashara ya kuchezesha games kwa japo badae hasa baada...
Ndugu zanguni kuna biashara huwa naionaga lakini sasa nahisi nakosa kujua naifunguaje kutokana na nature ya biashara.
Biashara ya Games Station,ni biashara ambayo taarifa zake wanazo wacheza hayo...
🌀 Kumbuka: Katika somo letu lililopita, tulijifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujawekeza — kama kuwa na mfuko wa dharura, kulipa madeni ya riba kubwa, kuwa na malengo, na kujua uwezo wako...
Salamu Wakuu Leo Napenda Kuwashirikisha Katika Mchanganuo Huu Wa Biashara Ya SALOON Hasa Ya Kiume.
Biashara ya SALOON Ya Kiume ni Wazo Zuri. Hapa chini Nimekuandalia Mchanganuo Wa Biashara Hii...
Kwa wauza vifaa vya furniture km
Plywood 18mm...
Mikono inch 6 ya makabati....
Mikono inch 8 ya kabati....
Bawaba za kichina....
Loki za kabat...
Gundi bollbond...
Disk ya mbao inch 7
Diski ya...
Greetings wakubwa na wadogo, na kheri ya mwaka mpya.
Habarini wanajamii. Nimekuja hapa na utafiti wangu mdogo kuhusiana na kuanzisha small workshop yenye mashine hizi mbili ( Lathe Machine na...
japo hakuna kiwango cha wazi cha kuanisha tajiri lakini kuanzia kiwango hiki Kwa Tanzania, watu wengi hutumia vipimo hivi kumhesabu mtu kama tajiri 👇
1. Kulingana na
Kwa gharama za maisha za...
Habari zenu wapambanaji,
Naomba kujuzwa bidhaa ambazo inaweza toa faida ghafi ya laki moja au zaidi kwa pc na huku mimi nikiinunua pamoja na usafirishaji niwe nimetumia laki moja au pungufu ya...