Jinsi gani ya kupata friji za makampuni ya vinywaji?

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
721
1,000
cret 10, za PEPs, kila cret watakuuzia full kwa maana cret tupu na chupa zake na pamoja na soda jumla ni 19000, so kwa cret 10, kama 190000, baada ya hapo unajaza maombi na kutuma, baada ya mwezi unaletewa hilo friji kama yameshafika au kama bado unasubiri. mambo yote haya nenda kwa wakala aliyekaribu na wew au kwa ubora zaidi nenda PEPs kiwandani.kwa upande wa coca sijui. samahani kwa kiswahili changu cha kiganda.
 
Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,885
2,000
Sante mkuu nitafanya hivyo
cret 10, za PEPs, kila cret watakuuzia full kwa maana cret tupu na chupa zake na pamoja na soda jumla ni 19000, so kwa cret 10, kama 190000, baada ya hapo unajaza maombi na kutuma, baada ya mwezi unaletewa hilo friji kama yameshafika au kama bado unasubiri. mambo yote haya nenda kwa wakala aliyekaribu na wew au kwa ubora zaidi nenda PEPs kiwandani.kwa upande wa coca sijui. samahani kwa kiswahili changu cha kiganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
king herode

JF-Expert Member
Jul 14, 2017
282
500
samahani kwa kuchelewa kujibu message yako ila kwa coca tembelea kwny ma depot yao utapewa namba ya resident area developer ambaye yy atakuja kufanya research ya duka lako na mahali ulipo na aina gani ya fridge uletewe baada ya hapo utajaza form baada ya week tatu unapewa fridge yako mengine ni kama alivyoeleza jamaa wam pepsi hapo juu kuna crates hzo utanunua day one watakuwa wanakutembelea kila week kujua una deficiency ya soda gan upangaje na zilizo expire wanamwaga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom