Jordi alfred
Member
- Oct 24, 2019
- 20
- 5
Habarini wote,
Kama kawaida leo nimefikiria nimekuja na swali jipya.
Mimi nipo Dodoma chuoni nasoma but nahitaji kuendesha shughuli zangu za kipato na pia mimi ni artist hasa katka suala la uchoraji (drawing) mzuri lakini naona art yang hailipi kutokana na bado sijawa na skills na expirence kubwa sana.
Lengo ni kujua biashara yenye mtaji mdogo kama mjasiriamali ili niweze kujikimu mwenyewe kimaisha au niendelee na art?
Sent using Jamii Forums mobile app