Mawazo yangu ya jinsi ya kutatua tatizo la dollar Tanzania
1. Serikali iongee na kampuni za utalii na kuwaomba walete pesa hapa utaratibu wa sasa watalii wanalipia hotel na karibu kila kitu kabla...
Wazazi wazazi siri ya matajiri kama Mohammed Dewji (MO) na baba yake, mzee Gulam Dewji, si kiasi cha fedha walichorithishana, bali ni MIFUMO na ELIMU ya kifedha tangu udogo.
Utajiri haurithishwi...
Habari zenu wana jamvi. Hope this thread finds you well.
Bila kupoteza muda, naomba niruke kwenye mada moja kwa moja.. ninaomba uzoefu katika nyanja tofauti tofauti za uendeshaji wa kiwanda cha...
Hellow, shime wana JF naimani mko wazima wa afya, akili na mwili.
Back to the topic, wakati mwingine shule inaweza kua chanzo Cha kuchekewesha maendeleo ya watu, Tukizingatia elimu yetu asilimia...
GT
Hii January imekuwa ya moto.sana hasa kwa traders wa gold ✨️ kuanzia 15th volume ilibadikika na kuwa kubwa sana.
Imagine one candle katika time frame yoyote iko 3 times ukilinganisha na miezi...
Namba: 079 531 536 9
Changu: Kilo 9,500/=
Wapo Mafia, dakika 40 tu kwa usafiri wa ndege mpaka Dar.
Wahi kuweka order yako, ikifika kilo 50 wanaletwa.
Wafanyabiashara wa Jumla pia mzigo...
Habarini wanajamvi samahanini naomba kuuliza kidogo juu ya hili swala.
Ninampango wa kununua CANTER USED ilio katika hali nzuri ili niweze kufanya biashara ya usafirishaji ambapo katika biashara...
Wakuu habari.
Kuna hii Biashara ya kusafirisha mizigo kwenda kusini .
Hii Biashara ipo demand kubwa Sana .
Njia ya kuifanya hii Biashara.
Tunafungua ofisi TEMEKE.
Tuna fungua ofisi nyingine...
Wadau, naomba kujua nini cha kufanya kabla sijaanza kusafirisha biashara nje ya bara la Africa. Nataka ku export chai na kahawa nahitaji nini kwanza. Kama ni leseni ni aina gani ya leseni, ama...
Mtu ana duka la soksi sinza, frame kwa mwezi ni milioni moja
Hii inabidi nikae chini nielekezwe
Kwani wenzetu huwa mnafanyaje ?
Soma Pia: Wafanyabiashara wa Dar es Salaam nipeni siri ya kuuza...
Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia.
Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000
Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao...
JIFUNZE KUTENGENEZA SABUNI ZA MAJI
Katika harakati zetu za utafutaji wa pesa leo ninaomba tuzungumzie kuhusu utengenezaji wa sabuni.Sabuni hizi unaweza kuzitumia katika kufulia,kuogea,kuoshea...
MBINU ZA KUPANGA BAJETI
Namna matajiri wanavyopanga Bajeti zao kwanza
Kufuatilia matumizi yao.
Kuishi chini ya kipato chao.
Kuepuka deni la matumizi.
Kujilipa wao kwanza.
Kuwekeza kwa muda...
Starlink Tanzania Ltd. Set to Enter the Telecommunications Sector – A Strategic Call for Investment
In response to growing demand for reliable and affordable internet services across the country...
Habari yenu wana JF,
Nipo hapa kwa ajiri ya kutokea ushahidi katika uzi ambao niliutoa "AVIATOR HACK TRICK" wengi wao walikua wanakataa kua haiwezj kufanya kazi, kabla sijaendelea ningeomba...
Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana!
2x2 - 2,300
2x3 - 3,300
2x4 - 4,300
2x6 - 6,500
1x4 - 2,300...
Baadae nikakutana nae kwenye minada ya Shinyanga...Tinde...nikiwa na Grinaker LTA Kampuni ya ujenzi wa barabara,
Baadae huyu mwamba akawa analeta mbuzi vingunguti....wakati huo sisi tunakula...
Haijalishi hali ya kiuchumi ni mbaya kiasi gani, chakula hubaki kuwa hitaji la msingi kwa kila mwanadamu. Katika mahitaji ya binadamu, nafaka na mazao ya chakula ndiyo ya mwisho kupoteza thamani...
Habarin wakuu,msaada kwa mwenye kufahamu haya mambo ;
1.Mfano umefungua akaunti UTT-liquid fund na ulishakamilisha usajili ofisini kwao,then baada ya mwaka ukataka ongezea mfuko mwengine mfano...
Mambo Ambayo Umaskini Unakufundisha Ambayo Lazima Uyasahau Ili ufanikiwe kifedha.
huwezi kuingia kwenye utajiri ukiwa na mtazamo wa umaskini.Unahitaji kubadili tabia za kuishi kwa shida na kuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.