Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naomba wakongwe wa biashara ya chips DSM wanisaidie kijana wao, vp nnaweza kuianza kwa mtaji wa sh ngap yaani kwenye kutafuta vitu vifuatavyo, pia wanisaidie ushaur kama biashara hii inafaa au...
2 Reactions
7 Replies
613 Views
Wakuu kwema unaweza kufanya taratibu gani kuanzisha mradi wa kuuza maji katka jamii mfano ukauza island ila ukafunga kabisa na mifumo yote na mita utaratibu ukoje mpk ukamilishe kila ktu na faida...
2 Reactions
1 Replies
186 Views
hello ladies and Gentlemen. nahitaji bakery mzuri wa kuniuzia mikate na andazi, nipo mikoa ya kusini, hivyo preferable awe maeneo ya mbagala ili kurahisisha usafirishaji. tuwasiliane inbox.
1 Reactions
1 Replies
156 Views
Natoa pole na pongezi kwa yeyote mwenye kutafuta riziki yake, mchezo sio mdogo🙌🏾, Mungu MKUU na atutangulie!
32 Reactions
116 Replies
2K Views
Nauza YouTube channel. Ina subscribers 210,000+ Imeanzishwa 2018. Ndani ya miaka 8 imeingiza USD 100,298 Sababu ya kuuza. Nimekosa muda wa kuiendeleza. Usimamizi wake unahitaji umakini wa kila...
11 Reactions
49 Replies
1K Views
Ukosefu wa elimu ya kifedha unaweza kuathiri vibaya uwezo wako wa kufanya maamuzi sahihi ya kukopa, mara nyingi husababisha mzigo wa madeni usio endelevu, dhiki ya kifedha ya gharama kubwa, na ya...
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi 1,hali ya hewani 2,aina nzuri ya mbegu 3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa...
1 Reactions
3 Replies
966 Views
Wakuu habari za wakati. ni muda sasa toka nimemaliza chuo, mwaka huu mwezi wa saba natimiza miaka miwili mtaani. Chuoni nimesoma Shahada ya Teknolojia ya Habari za Biashara (bachelor in bussiness...
3 Reactions
22 Replies
797 Views
Habari wanajamii forum ,mimi ni mdau wa muda mrefu sana ndani ya forum hii lakini nikiwa kama msomaji tu, kupitia forum hii nimejifunza mambo mengi, nimecheka na kufurahi, pamoja na kuelimika...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Tunaiza taa za aina zote kwa ajiri ya kupendezesha nyumba au fensi ya nyomba yako tunauza kwa p
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Habari zenu wadau wa jukwa la biashara. Nakua hapa sintakosasaada wa ombi langu. Ombi langu kwenu ni kutaka kufahamishwa ni sehemu Gani kwa Dar es salaam ambapo naweza kupata khanga na vitenge...
2 Reactions
6 Replies
721 Views
Karibu tukufungie cctv camera leo kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu. Huduma zetu ni za uhakika na tunazingatia mahitaji ya mteja. -Tunazo camera nzuri zinazoonyesha picha nzuri...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Nenda kidigitali na ishi kwa amani bila kuhofia usalama wa mali zako nyumbani au ofisini kwa kufunga Cctv camera leo. Tunazo camera nzuri za kisasa zinazoonyesha picha nzuri usiku na mchana...
0 Reactions
1 Replies
371 Views
Ukiwekeza kwenye Haya Maeneo Tisa Guarantee ya Kutengeneza pesa ni asilimia 💯 1. Afya Kwa mujibu wa jarida la Forbes Mwaka 2024 kampuni za Networking Marketing zinazouza bidhaa za virubutushi...
4 Reactions
1 Replies
799 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OWM- TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amekutana na uwakilishi wa Benki ya NMB na kujadili namna wanavyoweza kufanya...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Habari za saiz wadau wa jf, Kama kichwa Cha habari kinavosema, Napangisha fremu ipo SONGEA ugabe mjini kabisa. Fremu ni mpya yakuchangamkia maana songea kupata fremu sio kazi ndogo haswa ukifika...
1 Reactions
6 Replies
292 Views
Kuna mikoa ukienda kufungua biashara, jipange kama ni mgeni
2 Reactions
13 Replies
438 Views
Kwa kutumia huduma ya bulk sms, inawezesha uongozi wa shule kuwasiliana na wazazi/walimu kwa haraka zaidi na uhakika. Ni rahisi kumkumbusha Mzazi kumaliza ada ya shule, wakati mwingine kutoa...
1 Reactions
10 Replies
357 Views
Biashara Zina mambo mengi sana hasa ukiwa unafanya biashara za ku build legacy, Kuanzia Team to suppliers to distributors yaani ni kulala macho tu mpaka mambo yaende Nashauri kama wewe ni wale...
6 Reactions
32 Replies
842 Views
Namba: 079 531 536 9 Changu: Kilo 9,500/= Wapo Mafia, dakika 40 tu kwa usafiri wa ndege mpaka Dar. Wahi kuweka order yako, ikifika kilo 50 wanaletwa. Wafanyabiashara wa Jumla pia mzigo...
2 Reactions
35 Replies
543 Views
Back
Top Bottom