Kwa sasa ni rahisi kufungua akaunti, piga *150*66# na fungua akaunti BURE.Vigezo vp vya lazima ili uwe na account NMB??
Hii acc ya kufungua kwenye simu inakuwa kamili kama ile ya benki?Kwa sasa ni rahisi kufungua akaunti, piga *150*66# na fungua akaunti BURE.
Hii acc ya kufungua kwenye simu inakuwa kamili kama ile ya benki?
Haaaaaaaaaa daaah mkuu huamini auHii acc ya kufungua kwenye simu inakuwa kamili kama ile ya benki?
Hapana.nimehoji tu.maana nahitaji kujua.Haaaaaaaaaa daaah mkuu huamini au
Mkuu acc hiyo iko vzr kabisa ukimaliza kufungua basi unatumia tu na utaratibu wa ATM unafanyika kama kawaidaHapana.nimehoji tu.maana nahitaji kujua.
Nilikua na account 2009, kuanzia 2011 nilisafiri na kuitelekeza... Je naweza ifufua?Kwa sasa ni rahisi kufungua akaunti, piga *150*66# na fungua akaunti BURE.
Hello Chimdia,Nilikua na account 2009, kuanzia 2011 nilisafiri na kuitelekeza... Je naweza ifufua?
Naam ndugu,Hii acc ya kufungua kwenye simu inakuwa kamili kama ile ya benki?
Unataka akaunti ipVigezo vp vya lazima ili uwe na account NMB??
Baada ya kuifungua kuna taratibu zingine za kufuata?Naam ndugu,
Ni akaunti kamili kama akaunti zingine.
Karibu sana
@NMB Tanzania mbona hii hamjibu ? Au haina maslah kwenu?Mimi nimefungua akaunti mbili za akiba za watoto,toka Novemba 2017,hadi Leo hii tunamaliza Oktoba 2018,bado sijapewa kadi za watoto,japokuwa wakati nafungua waliniambia napata kadi ndani ya mwezi mmoja tu.
Hii benki imejaa maneno,kuliko vitendo!!
Mimi nimefungua akaunti mbili za akiba za watoto,toka Novemba 2017,hadi Leo hii tunamaliza Oktoba 2018,bado sijapewa kadi za watoto,japokuwa wakati nafungua waliniambia napata kadi ndani ya mwezi mmoja tu.
Hii benki imejaa maneno,kuliko vitendo!!
Baada ya kuifungua kuna taratibu zingine za kufuata?
Akaunti hii inaniwezesha kupata ATM card?
Naweza kujisajili na online platiforms mfano Payoneer kwa kutumia hii akaunti?
Natanguliza shukrani.
Pole sana Emillias,
Tunaomba mawasiliano yako PM kwa ufuatiliaji na msaada zaidi.
Nimeshakujibu PM,pamoja na akaunti mamba za watoto.
Asante.