Wakuu,
Kama mnanifuatilia niliwekeza hela yangu zaidi ya Ml 60 mwaka jana na hisa zimenipa faida zaidi ya mara mbili hadi sasa. Ila kwa zilipofikia zimekuwa over-valued kuliko thamani yake ya...
Salaam wakuu.
Mimi ni kijana umri wangu 28 nipo Mtwara nahitaji mabosi wa kuwanunulia korosho ambazo kwa huku tunaita za kuoka ambazo kwa huku zinanunuliwa kwa Kg 1 Tsh 14000- 16000 malipo juu ya...
🎯Tengeneza bajeti ya kila mwezi - Fuatilia mapato na matumizi ili uweze kujua kila mara fedha zako zinapoenda.
Na kipaumbele mahitaji kuliko matamanio - Shughulikia mambo ya lazima kwanza kama...
Tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeuza jumla ya Dola za Kimarekani milioni 168 kwenye soko la fedha la mabenki – Interbank Foreign Exchange...
Sekta ya benki ni mojawapo ya sekta zinazofanya vizuri katika Dar es Salaam Stock Exchange ikiwa na taasisi kama CRDB Bank Plc, NMB Bank Plc, MKCB, MBP na DCB Commercial Bank Plc.
Lakini pia ni...
Sekta ya Bank inazidi kukua.
Takwimu za nusu ya kwanza ya mwaka 2025 zinaonesha picha nzuri sana kwa sekta ya benki nchini. Benki za biashara zimepata jumla ya faida ya Sh1.2 trilioni, ongezeko...
Kwa muda mrefu nimekua nikitamani kua na hisa kwene makampuni tofauti tofauti kama voda,crdb na nmb
sasa nimeona hii DSE,,,,
maswali je kununua na kuuza kupitia DSE ni sawa tu na ningeenda manual...
Kutokana na usanii mwingi uliojaa na cost za kujenga zilivyokubwa nchi hii, nauliza
what are the chances za biashara au kujenga mwenyewe ya pre-fab houses ?
Say unajenga nyumba nzima nje ya nchi...
Kutoka kwenye kichwa HapO Nina 2M nataka kufungua kibanda cha chipsi nimuweke jamaa maeneo Kati ya Goba Centre,Tegeta Nyuki na Mbezi
Nifanye nini kuepuka
1.Kuibiwa na muuzaji maana Mimi...
Hili suala la sarafu kuadimika limekaaje? Niliona kwenye forum Moja ya Mwananchi wakiuliza kwa Afisa Sarafu B.O.T kuhusu kuadimika kwa sarafu hasa Tsh 100, Tsh 200 lakini alijibu kua hakuna shida...
nimekua nikifanya biashara ya kufungasha unga wa ugali kwa mwaka sasa naona inalipa so nahitaji kuwekeza zaidi, nimenunua eneo nimejenga sehemu ya kuokea mikate, sehemu ya kusaga na kufungasha...
Wakuu naamini umu kuna manguli wa utafutaji.
Nina shida na million 3 baada ya mwezi mmoja ili nifanyie uwekezaji fulani.
Kwa sasa nna laki tano nataka izae million 3 ndani ya mwezi mmoja kwa...
Hello waja JF, Nina 15,000,000 nahifaji kuiwekeza UTT atleast kwa mwaka mmoja ili izae japo kidogo kuliko kuiacha Bank, naombeni ushauri wa yafuatayo
1. ni mfuko gani pale UTT ni salama zaidi na...
Hawa wakina kimnyamkela humu ndani wanawadanganya na vidawa na matarajio bandia huku akiwa amenyoosha miguu kwenye kochi la shemeji yake.
Pesa ni uhalisia, ingekuwa kuna miujiza ya kuvusha watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.