jocky187 New Member Joined Feb 9, 2026 Posts 3 Reaction score 6 Feb 12, 2026 #1 Mwenye gari za transit kuenda Maamba✅ Lusaka ✅ Naomba tuonge 0620411256
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 12,012 Reaction score 17,617 Feb 12, 2026 #2 Wewe dereva , utingo, mfanyabiashara au nani?
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,187 Reaction score 114,348 Feb 12, 2026 #3 Unalipaje mkuu na inabeba mzigo gani? Ungeweka maelezo zaidi kidogo ili kupunguza simu nyingi. Gari zimekuwa changamoto sana kwasasa.
Unalipaje mkuu na inabeba mzigo gani? Ungeweka maelezo zaidi kidogo ili kupunguza simu nyingi. Gari zimekuwa changamoto sana kwasasa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,941 Reaction score 195,705 Feb 12, 2026 #4 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
D DALALI MKUU JF-Expert Member Joined May 7, 2022 Posts 2,594 Reaction score 6,152 Feb 16, 2026 #5 @HAYA LAND HOV
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,723 Reaction score 47,170 Feb 16, 2026 #6 Sema ni agent una mizigo ya kutoka daslm kuja Lusaka na unalipaje ndio tuongee sio tuje kuongea tu na aina ya mizigo pia..
Sema ni agent una mizigo ya kutoka daslm kuja Lusaka na unalipaje ndio tuongee sio tuje kuongea tu na aina ya mizigo pia..
Pepe Madochi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2021 Posts 590 Reaction score 790 Feb 16, 2026 #7 Ngoja transporter waje