Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari za siku wana JF, Kama kichwa kinavyosema hapo juu, nilikuwa nahitaji mnijuze ni shughuli gani naweza kuifanya ili niweze kuingiza sh.10,000 tu kwa siku na sio pungufu either kwa kujiajiri...
5 Reactions
23 Replies
11K Views
Habari za majukumu ndugu zangu, Nina wazo la kukopa bank kiasi cha pesa Million 100 kwa ajili kununua mitsubishi canter 2 zenye uwezo wa kubeba tani 3.5 kwa ajili ya biashara ya usafirishaji...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa TCRA idadi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii nchini Tanzania imezidi kutoka Million 26 mwaka 2015 mpaka kufikia Million 27 mwaka huu 2020. Sasa basi ni rasmi sekta ya...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu,mi ni mfanyabiashara mdogo kariakoo natumia kitambulisho cha mfanyabiashara. Biashara yangu ina wateja wengi kiasi kwamba mzgo naokuwa nao hautoshi nimefikiria kwenda kukopa bank...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
bei 1.7m kushuka chini isiwe boxer ama tvs Whasap 0682271470
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nmekua na idea ya kufanya biashara ya bidhaa mbalimbali kutoka china ila sielewi jinsi ya kuagiza bidhaa hizi..wakuu kwa yeyote anayeelewa naomba anifahamishe
1 Reactions
1 Replies
2K Views
jamani wadau naomba mnisaidie kama kuna mtu anajua procedure za kufata ukitaka kufungua account ya kikundi CRDB, NMB au bank yoyote ile..
0 Reactions
3 Replies
13K Views
Habarini, naomba mwenye kufahamu bei ya Pikipiki za SanLG ikiwa mpya anifahamishe. Nahitaji bei kwa Kahama au Mwanza ili iwe rahisi kwangu kufika huko kutokea kijijini kwetu
1 Reactions
1 Replies
12K Views
MY FAVORITE CHECKLIST ________________________________ 1. ON EARNING: Never depend on single income. Make investment to create a second chance. _________________________________ 2. ON SPENDING...
6 Reactions
3 Replies
784 Views
Wahindi bado nitaendelea kuwakubali kwa kuandaa watoto wao mapema sana, Wahindi watoto wao huwa hawasumbui sana kuhusu kazi kwa sababu tajwa hapo juu. Wahindi kwenye kuandaa watoto wao huwa...
45 Reactions
64 Replies
7K Views
Bandugu wana JF, Natumai wote mu wazima kuna haya makitu nimeyakuta sehemu yanazagaa zagaa, naomba kuuliza ni madini gani.
0 Reactions
18 Replies
12K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu,natarajia kuja Dar es Salaam,nitakaa kama week mbili kwa ajili ya manunuzi yangu,ninahitaji ac kama tatu hivi,ni wapi hapo jijini nitapata air condition nzuri kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habara wana JF, mimi nipo Mbeya ninaomba kujulishwa bei za mahindi na maharage Dar es salam, nitashukuru sana kama nita julishwa bei za mazao hayo asanteni.
0 Reactions
84 Replies
29K Views
GTs, Kwa miaka kazaa tangu awamu ya 5 iingie madarakani kuna wachumi walijitokeza kumpiga sana Dkt magufuli na serikali yake juu ya muelekeo wa uchumi, wengine walienda mbali zaidi na kuona hii...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Can I be painfully honest with you? No, not thank-God-he-told-me kind of honesty, where someone points out a gutter in front of you in the middle of the night. It’s brutal, bitter, and downright...
2 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari wakuu naomba kupata taarifa ya bidhaa hii katika ardhi yetu ya Tanzania Kwa maana ya mkoa husika Na wilaya lakini pia itapendeza zaidi ikipatika video au picha ya bidhaa hii Ahsante
1 Reactions
1 Replies
719 Views
Samahani wana jamii,,,,kama kuna mtu mwenye uzoefu na kazi ya kuprint Nguo kama T shirt, kofia, N.k anichek Whatsapp kwa namba hii 0784293629 au kawaida 0753327586 Nahitaji anifundishe ndani ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari. Jamani nina rafiki yangu kapata bahati ya kwenda nchini malaysia anaomba ushauri aje kufanya biashara gani akirudi bongo hivi karibuni? Mwenye idea ya biashara yoyote inayolipa atuambie...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Tujuzane bei ya mahindi kwa kipimo cha debe. Kwa mkoa wa Ruvuma, wilaya ya Namtumbo, bei ina range elfu 6 hadi elfu 7 mia 5. Je, huko kwenu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Salute wakuu Mtaalam wa marketing, mimi namuita genius kabisa kutoka marekani, SETH GODIN aliwahi kusema "ideas that spread win" Na ukiileta ktk uhalisia wetu wa biashara na ujasiriamali, ni...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom