Wapi napata ac (Air condition)za majumbani

laii

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
834
1,058
Kama kichwa cha habari hapo juu,natarajia kuja Dar es Salaam,nitakaa kama week mbili kwa ajili ya manunuzi yangu,ninahitaji ac kama tatu hivi,ni wapi hapo jijini nitapata air condition nzuri kwa bei nafuu.Asanteni
 
Niko hapa Katotorwansi Bukoba, njoo nikuuzie
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom