Mungu akutangulie katika juhudi zako za kujaribu kujikwamua kiuchumu. All the best brother...!!!!Habari za siku wana JF,
Kama kichwa kinavyosema hapo juu, nilikuwa nahitaji mnijuze ni shughuli gani naweza kuifanya ili niweze kuingiza sh.10,000 tu kwa siku na sio pungufu either kwa kujiajiri au kuajiriwa, nipo Ubungo, Dar es. Salaam.
Jaribu kupitia huu Uzi unaweza kukusaidia. Kuna michango mizuri sana ya great thinkersHabari za siku wana JF,
Kama kichwa kinavyosema hapo juu, nilikuwa nahitaji mnijuze ni shughuli gani naweza kuifanya ili niweze kuingiza sh.10,000 tu kwa siku na sio pungufu either kwa kujiajiri au kuajiriwa, nipo Ubungo, Dar es. Salaam.
Hizo za usiku atauzia wapi?Uza maji na vimiminika laini mchana usiku uza pombe kali hizi simple kama k vant, konyagi, stronger na jamii ya ivyo
Tafuta sehemu yenye watu wengi.. kaanga kuku wa kizungu jioni.. uza vipande vya kuku bei chini kidogo kuliko wauza chips wanavyouza kuku wao.. utapata zaidi ya elfu 10 kwa siku.. kwa mtaji mdogo sana usiofika hata laki moja
Kuna watu wanapiga hela sana Mbezi mwisho kwa biashara hiiUza maji na vimiminika laini mchana usiku uza pombe kali hizi simple kama k vant, konyagi, stronger na jamii ya ivyo
Habari za siku wana JF,
Kama kichwa kinavyosema hapo juu, nilikuwa nahitaji mnijuze ni shughuli gani naweza kuifanya ili niweze kuingiza sh.10,000 tu kwa siku na sio pungufu either kwa kujiajiri au kuajiriwa, nipo Ubungo, Dar es. Salaam.
Kila mtu ana mbinu zake za utafutaji ila mimi ushauli wangu fungua group za whatspp karibia nane tofauti ambazo utakuwa ukifanya business online .
1.Group la kwanza fungua la group la usambazi wa mboga mboga majumbani hivyo unakuwa unapokea order online kisha unapeleka majumbani
2.Group la pili fungua group la udalali wa magari nyumba fremu za kupangisha
3.group la nne fungua group la michezo kisha uwee unauza vifaa vya michezo;Jezi, unapokea order online na unauza online muhimu uwe na connections na wenye maduka
4.group la biashara ya kuku na samaki unapokea order unanunua na kuuza
5.group la biashara ya sembe sukari na mchele unapokea order na kuuza
Ukianza week ya kwanza utaona ngumu ila baada ya week mbili utaanza kuona matunda mimi upAnde wangu hizi kazi zinanifanya angalau kwa week sikosi hela chini ya elfu 50 hadi 80 kwani nina group 15 za biashara tofauti haipiti siku nikakosa order
Habari za siku wana JF,
Kama kichwa kinavyosema hapo juu, nilikuwa nahitaji mnijuze ni shughuli gani naweza kuifanya ili niweze kuingiza sh.10,000 tu kwa siku na sio pungufu either kwa kujiajiri au kuajiriwa, nipo Ubungo, Dar es. Salaam.
Unatumia formula gani !?