Nahitaji mwalimu mzuri na mzoefu ili kunifundisha Kwaajili ya Kuprint T shirt , kofia N.K ntamlipa kama akihitaji malipo .

Venus Tz

New Member
Oct 14, 2020
4
3
Samahani wana jamii,,,,kama kuna mtu mwenye uzoefu na kazi ya kuprint Nguo kama T shirt, kofia, N.k anichek Whatsapp kwa namba hii 0784293629 au kawaida 0753327586 Nahitaji anifundishe ndani ya wiki moja tu, akihitaji malipo Ntamlipa pia kulingana na maelewano yetu kabla ya kunifundisha.
 
Wew Ni me au ke
 
Back
Top Bottom