Hii ndo Kanuni yangu ya biashara : Ideas that spread win

Hii ndo Kanuni yangu ya biashara : Ideas that spread win

Max Marketer

Member
Joined
Oct 13, 2020
Posts
46
Reaction score
50
Salute wakuu

Mtaalam wa marketing, mimi namuita genius kabisa kutoka marekani, SETH GODIN aliwahi kusema "ideas that spread win"

Na ukiileta ktk uhalisia wetu wa biashara na ujasiriamali, ni kweli kwamba kila mtu anataka kushinda (kupata wateja, kupata wateja zaidi,kutangaza brand, kukuza brand etc)

No matter how you define your win

But ili uweze kufikia hapo unapopataka, ni lazima uweke efforts ktk marketing

Seth Godin anakwambia "Marketing is simply an act of spreading ideas"

Ni kitendo cha kuipambanua biashara yako, na kuitangaza ili iweze kufahamika na watu wanaoweza kuwa wateja wako.

Kuna njia za kawaida (Traditional marketing) pamoja na njia za online (Digital marketing and social media marketing)

Mifano ya Traditional ways utakuta print designs kama mabango, business cards, shop stickers,flyers etc

Ukija online kuna vtu kama contents (photo, videos, posters, na matangazo ya kulipia/sponsored)

Hapa naamin wengi wetu kuna namna mnafaham na tayari mnafanya...

Je,uko tayari kujifunza zaidi?....

Vtu kama matangazo ya facebook/Instagram ..kuna mambo mengi kufahamu kama audiences, targeting na vtu vya kuzingatia ktk tangazo (creative,copy,CTA),facebook ad funnels etc

Vitu ambavyo ukivifaham.. Unaweza kuweka bajet ya matangazo.. Na kupata returns mpaka 1000% ya bajet yako

STAY TUNED... Nitaanza kushea knowledge hapa na tutadiscuss maswal na changamoto

LAKINI PIA kama unahitaji huduma za PRINT MARKETING kama business cards, mabango (2D/3D), shop signs, stickers etc

Niambie apo chini nikucontact PM au nicontact mm PM au text /call 0752226475

......until next post.......

*some works done for clients



B2.jpg
CARDS.jpg
B5.jpg
FB%20MCK%20AD.jpg
web-banner2.jpg
AD4.jpg
lifetime-5.jpg
 
Back
Top Bottom