Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari za wakati huu. Lengo ni kutaka kuwekeza, pesa katika Biashara ya CHAKULA hasa mgahawa. Je 5M inaweza Kufanya kitu kikubwa katika Biashara na kujitofautisha na wengine ili kuwa level ya...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau mambo Vipi mko poa? Nina wazo ila sina mtaji wa kuanzia nikipata wa kunishika mkono ntashukuru. Ok. Plan yangu ipo hivi wazo langu ni kuwa nikiwa na kama sh 50,000 hizo zinatosha kabisa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wakuu mwenye kujua utaratibu wowote wa kufungua fixed account mana kueka pesa ndani nmeshindwa bora nizifungie tu.
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari zenu Jamani hawa madogo wanaomaliza vyuo ni pasua vichwa bora sisi wenye la 7 zetu. Dogo kamaliza masomo kaomba mtaji wa kulangua dagaa na kuuza ila kaenda takriban trip 3 tu mtaji...
5 Reactions
68 Replies
9K Views
Masada anayekaa maeneo ya kuanzia kariakoo, Fire, mpaka upanga karibu na muhimbili. Kama kuna anayeishi maeneo hayo au anafanya Biashara shida yangu kupata sehemu safi nitalotumia kuandaa matunda...
1 Reactions
0 Replies
625 Views
Neno customer care, sio neno geni masikioni mwa watu wengi. Lakini pia ni kiungo muhimu sana katika biashara. Kwa lugha yetu ya nyumbani tunaita "Huduma kwa wateja". "Huduma kwa wateja ni...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habarini Wana JF, Nnahitaji Mkopo wa 2M kwa ajili ya maswala ya biashara. Mimi ni muajiriwa katika shirika lisilo la kiserikali yaani NGO. Nimejaribu kuulizia NMB ambayo ni bank ninayopokelea...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Habari wakuu daah kwanza samahani sana kama unakula kwa mama, slay queen, sharobaro au bado una bumu samahani kwa kukusumbua maana nahisi wenda hutonielewa. Kuna hii biashara ya midoli ya mtumba...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kila biashara ya rejareja Ina changamoto zake. Biashara ya nyumba za kupanga pia ina kero zake. Unapojenga nyumba ya vyumba sita na kuipangisha chumba kimoja kimoja ni rahisi kupata wateja. Ni...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Hali inazd kua tata kabsa vifurushi vmekua very expensive utokaa uamin had tulokimbilia Zantel hali tete had uni offer mambo magum bado daaa....
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba mwenye namba za simu za watu wa FedEx anisaidie, namba zao zilizopo kwenye website yao hazipokelewi. Thanks
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu kutumia shirika la usafirishaji fedex lazima uwe na account kwenye shirika lao kama ilivyo posta?
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau habari za majukumu. Leo nilitaka nimtumie rafiki yangu kitabu kwa njia ya DHL lakin nimechoka ghafla baada ya kuambiwa kitabu chini ya kilo moja ni laki na nusu (150,000 Tshs). Sasa nipo...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Jaman naomba kuuuliza kati ya DHL na Fedex wap ni wazuli kuwatumiiiia. Namaaanisha wanaunafuuu ukizungumzia swala la clearance na vi charge vidogo vidogo maana kuna sehem nlisikiiia kuwa bora ya...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Hoja hii inaweza kuwa ngumu kueleweka lakini maana yake ni hii; Ili Mkulima ukopesheke kwenye taasisi za benki unapaswa ukidhi haya: ~ Uwe na taarifa za mauzo ya mazao yako ~ Uwe na hati ya...
1 Reactions
0 Replies
896 Views
Msaada tutani nimeingia online nimevutiwa sana na products za kikuu. Mwenye experience yoyote ya kununua vitu kwa hawa jamaa please anipe muongozo maana nimewaelewa sana.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakubwa nme get stack kdgo kuhusu kufanya maamuzi kuhusu frame za uswahilini au za laki na kitu, ukweli nataka kuuza phone accrssories lakn na big dream niuze kiukubwa na upana kdgo na nahisi...
0 Reactions
2 Replies
764 Views
Ndugu zangu naomba kujuzwa biashara ya rasta na urembo mdogomdog wa kike yani zaidi vinanunuliwa wapi faida ikoje pamoja na changamoto zakee na location nzuri kufanya hiyo biashara zaidi ni maeneo...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Salaam ndugu zanguni Kiufupi mimi ni mjasiriamali mdogo katika sekta ya kilimo, nimekuwa mkulima wa mpunga kwa takribani miaka mitano na hata wakati huu niko shambani nikisubiri muda wa mavuno...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Greetings. Kama kawaida leo tunakutana tena nikikupatia darasa muhimu kabisa ambapo nitajibu swali kati ya UpWork na Freelancer.com wapi unaweza kuwa na nafasi zaidi yakupata kazi? Jibu la...
5 Reactions
10 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…