Naomba kupata mungozo wa biashara ya rasta

james bendui

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
547
472
Ndugu zangu naomba kujuzwa biashara ya rasta na urembo mdogomdog wa kike yani zaidi vinanunuliwa wapi faida ikoje pamoja na changamoto zakee na location nzuri kufanya hiyo biashara zaidi ni maeneo ya wapi
 
Zipo rasta za makampuni mbali mbali kama Stella, darling etc. Unataka kufanya jumla ama Reja reja? Reja reja unaweza pata 50-200.. jumla Kati ya 1000 Hadi 2000 Kwa katoni. Japo sikushauri uweke rasta pekee yake weka na wiving ndio zina faida. Maeneo kama Mwenge, Makumbusho, Tandika, Mbagala.
 
Back
Top Bottom