Namba za FedEx Tanzania

Wakuu naomba mwenye namba za simu za watu wa FedEx anisaidie, namba zao zilizopo kwenye website yao hazipokelewi. Thanks
Kampuni kubwa kama hii watakuwa wameweka namba ambazo ni outdated kwenye website yao kweli? Inawezekana walioajiriwa hapo wanafanya mambo ya kibongo bongo. Jaribu kuwaandikia Head Office email uwaelezee hali hiyo. Kma ni uzembe watajua kuna kinachoendelea.
 
Ndugu yangu pole sana. Waswahili wakiwa agents wa hizi kampuni za kigeni huwa shida.
 
.
JamiiForums-1862594635.jpg
 
Wakuu naomba mwenye namba za simu za watu wa FedEx anisaidie, namba zao zilizopo kwenye website yao hazipokelewi. Thanks
Wasiliana na muwakilishi wa mauzo na masoko FedEx Express Tanzania kwa sim namba 0657844098. Karibu sana.
 
Back
Top Bottom