Fixed account kuepusha matumizi mabaya ya pesa

sheby dunia

Member
Jul 12, 2018
78
82
Habari wakuu mwenye kujua utaratibu wowote wa kufungua fixed account mana kueka pesa ndani nmeshindwa bora nizifungie tu.
 
Ya nmb inayo riba ya 13% unatoa mara tatu tu kwa mwaka kianzio 50,000,hiyo ya nbc sina taarifa nayo

Mkuu nakushauri kama ela ni nyingi sana ni bora uwekeze, unanunua mzigo unauza, kuliko kuiweka benk.

Kama ndiyo hiyo ya kudunduliza ili ufikie malengo weka nmb
 
ya nmb inayo riba ya 13% unatoa mara tatu tu kwa mwaka kianzio 50,000,hiyo ya nbc sina taarifa nayo

mkuu nakushauri kama ela ni nyingi sana ni bora uwekeze, unanunua mzigo unauza, kuliko kuiweka benk.
kama ndiyo hiyo ya kudunduliza ili ufikie malengo weka nmb
Yakudunduliza kaka ko kiwango cha chin ni mda gan kukaa benk had wakuruhusu kuitoa
 
Kwenye menu ya nmb mobile nimeona option ya kuifix account,
Sema riba zao za kitoto sana
 
Inakubidi ufanye survey kwenye benki kadha kusudi upate current interest rates,huwa zinabadilika mara kwa mara ndio ufanye uamuzi ni benki gani itakufaa.
Kutokana na mienendo ya biashara nyingi kwa sasa ;shares sikushauri,bora fixed.
 
Riba zao znaendaje mkuu afu unaruhusiwa kutoa baada ya mda gan
Around 5% hivi
That means kwa 1m interest ni kama 40k kwa mwaka
Ndani ya app kuna option unaweka kiasi unachotaka kuinvest wanakukalkuletia interest.
Minimum investment 500k.
Kwa maelezo zaidi download iyo app au visit their nearby branch
Note:
Nmb mnilipe nawafanyia marketing hapa
 
Back
Top Bottom