Milioni 5 inanichanganya akili. Je, inawezekana kuwekeza?

Mafree

Member
Aug 3, 2017
79
70
Habari za wakati huu.

Lengo ni kutaka kuwekeza, pesa katika Biashara ya CHAKULA hasa mgahawa.

Je 5M inaweza Kufanya kitu kikubwa katika Biashara na kujitofautisha na wengine ili kuwa level ya Kati?

Jambo jengine, naweza nikachukua frem ya elfu 80 au 100K ila ikawezekana kulipia pango na cosistance ya Biashara ikabaki pale palee? (Sababu sifikirii faida kubwa wakati wa kuanza)

JAMBO LA MWISHO, KAMA UNA MAHALII (LOCATION) UMEONA AU UMEWAHI KUWAZIA KUWEKA MGAHAWA , USISISITE KUNICONECT NDUGU ZANGU.

KWANGU UNAWEZA KUWA MSAADA MKUBWA SANA KAMA UTAPENDA KUNISAIDIA.

(DODOMA NA DAR ES SALAAMA) NDIO MAHALI NATAZAMIA.

ASANTENI SANA.

KARIBUNI KWA MAONI YENU.
 
Mtaji ni mkubwa sana na unatosha kwa biashara hiyo.

Zingatia Location Mkuu
Zingatia location
Narudia tena Location muhimu

Unaweza ukawa unatoa huduma nzuri na chakjla chenye ubora lakini kama location haina wateja wenyeuhitaji utafeli.
 
Ukishaingia kwenye hiyo biashara, kila kitu kita jibalance chenyewe. Anzia na 1 ndipo uende hatua ya 2!

Nb: Biashara yoyote ile inahitaji eneo lenye watu. Usijifungie ndani! Fanya utafiti mwenyewe, halafu jilipue.
Asante Sana ndugu., Ila nikuulize kitu nipate kufahamu, unaposema Hatua ya 1katika Biashara hii , Ulikua katika maana ipi?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Biashara ni mchakato. Siku ya kwanza utauza mauzo ya shilingi elfu 2, lakini baada ya miezi kadhaa mauzo yatapanda mpaka elfu 20! Au zaidi ya hiyo, au yatashuka kabisa mpaka 0! Kutegemeana na namna ulivyo jipanga.
 
Mgahawa wa Kati, wazo zuri. Ila usiweke 5m yote! Tumia 4m tu! Panga mahitaji yako yote andika, pita madukani kabla hujanunua tafuta Bei zako weka kwa karatasi, tafuta wahudumu classic! Tafuta Sare...hakikisha inakuwa mgahawa Safi. Kila la kheri
 
Shukrani mkuu.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sukurani mkuu, nitafanyia kazi kwenye hili.
 
Habari za wakati huu.

Lengo ni kutaka kuwekeza, pesa katika Biashara ya CHAKULA hasa mgahawa.

Je 5M inaweza Kufanya kitu kikubwa katika Biashara na kujitofautisha na wengine ili kuwa level ya Kati?

Jambo jengine, naweza nikachukua frem ya elfu 80 au 100K ila ikawezekana kulipia pango na cosistance ya Biashara ikabaki pale palee? (Sababu sifikirii faida kubwa wakati wa kuanza)

JAMBO LA MWISHO, KAMA UNA MAHALII (LOCATION) UMEONA AU UMEWAHI KUWAZIA KUWEKA MGAHAWA , USISISITE KUNICONECT NDUGU ZANGU.

KWANGU UNAWEZA KUWA MSAADA MKUBWA SANA KAMA UTAPENDA KUNISAIDIA.

(DODOMA NA DAR ES SALAAMA) NDIO MAHALI NATAZAMIA.

ASANTENI SANA.

KARIBUNI KWA MAONI YENU.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu kama hujui hata kuwasha jiko biashara haikufai utapoteza hela biashara ya chakul nzur ila changamoto ni wapishi tu
 
Yaani kupata wapishi wanaojitamhua kazi.hakuna kupumzika kuamka saa kumi kawaida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom