ON ATCL i see a cul-de-sac situation.
Baada ya the Famous long awaited CAG report na suggestions zake mpira unataka kurudi Bungeni deciding the Fate of our Beloved Wings of Kilimanjaro. Jambo la...
Wakuu habari,
Leo nimekutana na mtu amenishawishi kuigeuza gari yangu binafsi kuwa uber, Naomba kufahamu je inalipa?
Gari yangu ni mpya sio kwamba nina shida sana na pesa bali amenishauri kwamba...
Nikiwa nafuatilia mwenendo wa biashara ya ndege toka jana ni wazi kwamba mashirika mengi yanaendeshwa kwa hasara isipokua emirates peke yake mwaka huu.
- Mwenendo wa emirates nkiangalia report...
Ni alhamis tamu sana kukiwa na hali ya hewa ya mawingu na ubaridi na kimvua hapa dar hakika napendaga hii hali sana.
Ok niende kwenye mada unaweza ukapita mahali au kwenye masoko hapa dar unakuta...
Wakuu habari,
Katika vitu vigumu katika biashara ni kufanya biashara uizoee na ikuzoee, pia ukiona biashara yako imesimama vizuri sana nina imani ni baada ya kipindi kirefu kupita
Katika...
Naombeni mawazo yenu wadau kuhusu biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza sehemu ya kununulia mzigo na namna nzuri ya kuuza kwa wepesi mtaji wangu ni laki Saba (700000) siishi nyumbani...
Hivi karibuni, mfanyabiashara na Mbunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby ameingiza mabasi 12 ya kisasa aina ya Yutong.
Inaelezwa kuwa, mabasi hayo ni ya aina yake nchini kwani yana mfumo wa...
Habari.
Tumeanzisha Application ambayo tunauza vitabu vya kiswahili. Sasa kupata install kwenye app ni kazi ngumu sana. Tukaanzisha account instagram ambayo tunaweka vitabu na kuvipromote. Shida...
Kuna watu wanafikiria kuanzisha biashara ya mikopo, wengine wameanza tayari ila wamekutana na changamoto nyingi sana na wengine ila wengine wana maswali mengi hukusu biashara hii
Njoo nikushauri...
Maoni tu,
Kuna Basata mpaka leo hawana music streaming app ambayo watu wanaweza upload content na kuuza na wao kupata kodi. Eg one record ikiuzwa for 100 Tsh which is reasonable, kwa watu 1m ni...
Habari wakuu,
Leo niko na swali moja, muhimu na sijawahi lipatia ufumbuzi.
Kwanini unaweza nunua gari nje kwa bei nafuu lakini, likifika Tnzania makato yanakuwa maradufu hadi unaanza likatia...
Kusitishwa kwa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo na falsafa ya, "Quis Custodient, Ipsos Custodes."
Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ulisitishwa kufuatia majadiliano yenye tija yaliyofanywa...
Ujenzi wa mabwawa makubwa kama hili letu huwa unaambatana na mikopo mikubwa ambayo ishawahi kusababisha uchumi kuanguka katika nchi za Turkey, Brazil, Mexico, na Yugoslavia ya zamani
kwa mfano...
Mambo yanayoendelea nchini yameanza kuzua mashaka juu ya chanzo cha kifo ch magufuli
Hatutaki kuamini kuwa kifo cha Magufuli hakikuwa cha kawaida lakini matukio yanayoendelea sasa hivi ni kama...
Money Secrets You Need To Know!
1. Savings will not make you rich
You need to invest the money saved in the air conditioner to get more of a profit from it. This will help you to be...
Uchumi wa nchi umekuwa Sana na kufikia uchumi wa kati kabla ya muda ulio kusudiwa, maanake tume break event.lakini Maisha ya Watanzania hayahakisi uhalisia wa mabadiliko hayo ya uchumi.
Makamu wa...
Baada ya Fremu ya laki na ishirini kwa mwezi kunitoa nishai nimeamua kukimbilia uswahilini, kwanza kodi ya mwezi mmoja (laki na ishirini) uswahilini ni kodi ya miezi minne.
Watu wengi mzunguko wa...
Binafsi ninekua mtumiaji wa tecno smartphone pamoja na infinix.. baada ya kusemwa semwa sana nikaona nivute kitu samsung galaxy a21s ...cha ajabu sioni tofauti kabisa..
Habari ndugu zanguni? Kwa mwenye uelewa kuhusiana hii site ya trucklocator ya nchini Uingereza. Hofu yangu isije ikawa ni ma conmen nikapigwa pesa hapa maana uchumi wenyewe ni mgum huu...