Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,200
- 12,692
Habari.
Tumeanzisha Application ambayo tunauza vitabu vya kiswahili. Sasa kupata install kwenye app ni kazi ngumu sana. Tukaanzisha account instagram ambayo tunaweka vitabu na kuvipromote. Shida inakuwa kupata followers instagram, nayo ni kazi ngumu. Tukatumia mbinu hii.
1. Tunatafuta account zinazouza vitabu mle instagram, hasa vitabu vya kiswahili. Tunaenda kwenye wale watu wanaofollow ile account. Tunaamini hawa wako interested na habari za vitabu.
2. Tunaanza kuwafollow wale watu. Baada ya muda wanaanza kutufollow back. Hapo tunajipatia followers, tena wale ambao wako interested na biashara yetu.
3. Instagram wanalimit mwisho kufollow watu 7500. Hatujafika hiyo limit lakini tukifika tutaweza kuunfollow baadhi ya watu na kuanza tena kufollow wengine.
4. Nimeona watu wana aacount za biashara insta lakini ana follow watu 100 tu. Kwa mtindo huo huwezi pata followers na huwezi kujitangaza kirahisi.
Kwa sasa account yetu tunafollow watu kama 6500 na tumepata followers kama 1500 ndani ya miezi miwili na kila siku wanaongezeka
Unaweza kutumia hii mbinu kwa business yoyote, kama unauza nguo, viatu, movies na kingine chochote.