OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 3,626
- 9,173
Baada ya Fremu ya laki na ishirini kwa mwezi kunitoa nishai nimeamua kukimbilia uswahilini, kwanza kodi ya mwezi mmoja (laki na ishirini) uswahilini ni kodi ya miezi minne.
Watu wengi mzunguko wa pesa mzuri kwenye bidhaa zenye bei ndogo.
Kwa mnaoanza biashara na mna mitaji midogo nendeni uswahilini.
NB: hakikisha unaweka biashara yako katika eneo lenye ulinzi.