Tuambiwe ukweli: Stiglers Gorge inaweza kuwa maafa makubwa kwa taifa badala ya furaha

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Ujenzi wa mabwawa makubwa kama hili letu huwa unaambatana na mikopo mikubwa ambayo ishawahi kusababisha uchumi kuanguka katika nchi za Turkey, Brazil, Mexico, na Yugoslavia⁠ ya zamani

kwa mfano bwawa la Tarbela kwenye mto Indus huko Pakistan.Mwaka 1968, kiliwekwa kipengele cha interest ya 7.5 kwa ajili ya ku cover inflation na ucheleweshaji wa mradi. lakini mradi haukukamilika hadi 1984, ulichelewa kwa miaka 8, inflation ikawa imefikia asilimia 380 . Bwawa hilo likagharimu mara nne ya gharama iliyokadiriwa na kuongeza deni la taifa la pakistani kwa mara nne zaidi

Mabwawa huchukua average ya miaka 8.7 kujengwa na mara nyingi matatizo yanapotokea na waanzilishi mradi hawapo madarakani basi waliopo madarakani huangushia lawama wale waliotoka
Mnyika wa chadema siyo mjinga kutaka kuona mkataba wa Stiglers Gorge ,hata catherine Ruge alipodai the real cost ni 21 trliion na siyo 7 trillion she has a point.

Kwanza huu mradi tunaambiwa ni fedha za ndani okay tuseme ni hivyo ila kweli ndiyo utachukua miaka mitatu??????,hiyo Gorge yenyewe ina urefu wa kilometa 8 na mita 100 kushuka chini sina hakika mradi uta cover eneo kisasi gani lakini selous ni kubwa zaidi ya nchi ya Uswis na ni 4/5 ya nchi ya Ireland,vilevile katika ujenzi wa mabwawa kuna hatua lazima ujenzi usimame ili kingo zishike vizuri,mistakes zikifanyika tujue ni KLIO KWA UCHUMI kwa miaka mingi ijayo NA MAISHA YA WATU. kwa mfano:

*Bwawa lilokuwa linajengwa huko nchini laos lilipasua kingo na kusababisha mafuriko yaliyoua watu 200 na kuwaacha wengine 6000 wakiishi kwenye mahema

*Mmonyoko wa ardhi ulisababisha uharibifu mkubwa katika bwawa la Ituango linalojengwa huko colombia na kusababisha watu 25,000 kuhamishwa huku mradi huo wa dollar bilion 5 ukiwa matatani

*Miaka mitatu iliyopita bwawa refu huko marekani liitwalo Oroville Dam lililopo kaskazini mwa California, nusu lipasuke na kusababisha kuhamishwa kwa watu 190,000 na matengenezo yaliyogharimu dola bilioni1.1
*⁠.
mwisho kabisa,Ujenzi wa mabwawa kama ya kwetu una historia mbaya duniani kote.HUAMBATANA NA RUSHWA KUANZIA TENDA ZINAVYOTOLEWA,WANASIASA CORRUPT HUJIFAIDISHA,wengi hawaweki wazi mikataba ila mwisho wake gharama mradi unapoisha zinaongezeka siyo zile zilizosemwa mwanzo

Mfano mzuri ni kichekesho huko Congo,wanataka kujenga bwawa katika mto congo kwa gharama za dollar billion 80 na litakuwa bwawa kubwa duniani ila ni Mungu anajua tu what that means kwa nchi kama Congo

-NI JAMBO JEMA KAMA MRADI HUU WETU AMBAO UKIKAMILIKA LITAKUWA BWAWA LA PILI KWA UKUBWA AFRIKA UENDE KI UWELEDI
*mazingira ya Ecology yazingatiwe
*mkataba uwekwe wazi tujue nchi itabebaje mzigo miaka ya mbeleni tusidanganyane eti bwawa la pili kwa ukubwa Africa litakamilika kwa 3.6 bilion dollars

*Hii story ya kwamba litakamilika ndani ya miaka 3 ndiyo inanipa wasiwasi na this whole issue,ni kwamba mnafosi kwa ajili ya masifa au?hizo KINGO ZITAKUJA KUPASUKA na roho zitakazopotea zitakuwa juu yenu,maana siyo chini ya watu laki moja watakufa na vile vinyumba vya udongo yarabi toba
 
Wee mbona hatukuambiwa ukweli kabla haujazaliwa na tunaishi na wewe tu?
 
CCM hawajawahi fanya lililo jema kwa Tanzania..Mungu ndio anatuepusha na shari zao tu.
Originally hata arab contractors walisema ujenzi ni 10 years nashangaa kusikia majamaa na kikundi cha matarumbeta cha lumumba wansema itachukua 3 years eti itajengwa usiku na mchana, are these dudes high on Daud kanyau's cocaine or what? kabwawa cha HALE kalichukua 5 years hilo dude lichukue 3 years?

Kwa kufichaficha huku hata mikataba nahisi kutakuwa na uharibufu mkubwa wa mazingira vifo vya wanyama na wengine watakimbilia kwenye makazi ya watu na kama waarabu wakifosiwa kulipua kwa miaka 3 basi tutarajie kupasuka kwa kingo then gharika kubwa na kutokea mauaji ya kutisha kwenye historia ya nchi yetu
 
Ujenzi wa mabwawa makubwa kama hili letu huwa unaambatana na mikopo mikubwa ambayo ishawahi kusababisha uchumi kuanguka katika nchi za Turkey, Brazil, Mexico, na Yugoslavia⁠ ya zamani

kwa mfano bwawa la Tarbela kwenye mto Indus huko Pakistan.Mwaka 1968, kiliwekwa kipengele cha interest ya 7.5 kwa ajili ya ku cover inflation na ucheleweshaji wa mradi. lakini mradi haukukamilika hadi 1984, ulichelewa kwa miaka 8, inflation ikawa imefikia asilimia 380 . Bwawa hilo likagharimu mara nne ya gharama iliyokadiriwa na kuongeza deni la taifa la pakistani kwa mara nne zaidi

Mabwawa huchukua average ya miaka 8.7 kujengwa na mara nyingi matatizo yanapotokea na waanzilishi mradi hawapo madarakani basi waliopo madarakani huangushia lawama wale waliotoka
Mnyika wa chadema siyo mjinga kutaka kuona mkataba wa Stiglers Gorge ,hata catherine Ruge alipodai the real cost ni 21 trliion na siyo 7 trillion she has a point
Kwanza huu mradi tunaambiwa ni fedha za ndani okay tuseme ni hivyo ila kweli ndiyo utachukua miaka mitatu??????,hiyo Gorge yenyewe ina urefu wa kilometa 8 na mita 100 kushuka chini sina hakika mradi uta cover eneo kisasi gani lakini selous ni kubwa zaidi ya nchi ya Uswis na ni 4/5 ya nchi ya Ireland,vilevile katika ujenzi wa mabwawa kuna hatua lazima ujenzi usimame ili kingo zishike vizuri,mistakes zikifanyika tujue ni KLIO KWA UCHUMI kwa miaka mingi ijayo NA MAISHA YA WATU. kwa mfano:

*Bwawa lilokuwa linajengwa huko nchini laos lilipasua kingo na kusababisha mafuriko yaliyoua watu 200 na kuwaacha wengine 6000 wakiishi kwenye mahema

*Mmonyoko wa ardhi ulisababisha uharibifu mkubwa katika bwawa la Ituango linalojengwa huko colombia na kusababisha watu 25,000 kuhamishwa huku mradi huo wa dollar bilion 5 ukiwa matatani
*Miaka mitatu iliyopita bwawa refu huko marekani liitwalo Oroville Dam lililopo kaskazini mwa California, nusu lipasuke na kusababisha kuhamishwa kwa watu 190,000 na matengenezo yaliyogharimu dola bilioni1.1
*⁠.
mwisho kabisa,Ujenzi wa mabwawa kama ya kwetu una historia mbaya duniani kote.HUAMBATANA NA RUSHWA KUANZIA TENDA ZINAVYOTOLEWA,WANASIASA CORRUPT HUJIFAIDISHA,wengi hawaweki wazi mikataba ila mwisho wake gharama mradi unapoisha zinaongezeka siyo zile zilizosemwa mwanzo
Mfano mzuri ni kichekesho huko Congo,wanataka kujenga bwawa katika mto congo kwa gharama za dollar billion 80 na litakuwa bwawa kubwa duniani ila ni Mungu anajua tu what that means kwa nchi kama Congo
-NI JAMBO JEMA KAMA MRADI HUU WETU AMBAO UKIKAMILIKA LITAKUWA BWAWA LA PILI KWA UKUBWA AFRIKA UENDE KI UWELEDI
*mazingira ya Ecology yazingatiwe
*mkataba uwekwe wazi tujue nchi itabebaje mzigo miaka ya mbeleni tusidanganyane eti bwawa la pili kwa ukubwa Africa litakamilika kwa 3.6 bilion dollars
*Hii story ya kwamba litakamilika ndani ya miaka 3 ndiyo inanipa wasiwasi na this whole issue,ni kwamba mnafosi kwa ajili ya masifa au?hizo KINGO ZITAKUJA KUPASUKA na roho zitakazopotea zitakuwa juu yenu,maana siyo chini ya watu laki moja watakufa na vile vinyumba vya udongo yarabi toba
Nonsense. Utakuwa umetumwa na mabeberu. Tanzania si mara ya kwanza kujenga mabwawa ya kuzalisha umeme, tulijenga Kidatu, Mtera, Pangani, Hale. Je kuna bwawa kati ya hayo limeshaleta maafa?
 
UMESOMA UKAELEWA?au no yale mabumunda ya lumumba ?team tarumbeta.
 
hata reli ya tazara wachina walijenga kwa miaka mitano wazungu walisema haiwezekani. tatizo kama kuna hidden cost sawa hapo ndio serikali watoe clarification au contract iwe disclosed hata kwa wawakirishi wa wananchi
 
Wee mbona hatukuambiwa ukweli kabla haujazaliwa na tunaishi na wewe tu?
Mnapojibugi hivi kwenye ishu serious za kitaifa huwa mnatia kinyaa sana yaani. Saa zingine hebu wekeni mahaba yenu ya kivyama pembeni muangalie nchi kama nchi aisee.

Sijui uhalisia au ukweli wa mleta mada ila kinzaneni kwa hoja basi. Unavyojibu hivi maana yake umeshindwa hoja, kaa chini kubaliana na mtoa mada basi.

Huwa mnatukwaza sana sisi tusio na vyama
 
Kama Stiegler's gorge akifanikwa kuimaliza na SGR basi watanzania tutakuwa tunapumulia ICU kiuchumi. Mh. Rais alisema ameachana na gas kwa madai mikataba ni mibovu ya kule kwenye gas, lakini mbona mikopo anayochukua kujenga hiyo miradi miwili nayo ni aina ya ufisadi kwa riba anazotozwa na mabenk ya biashara? Ataondoka madarakni deni halihimiliki .Nasikia aliingia tunadaiwa trilioni 35 na sasa baada ya miaka 3 tunadaiwa trilioni47 . Sasa hapo hajaongeza mshahara ..No wonder ataachia ngazi (kama hatang'ang'ania) bila kuongeza mishahara kwa sababu kila kitu kimesambaratika kiuchumi kila sector hoi..Kazi rahisi kwake ni kunyamazisha kila sauti. Mungu atuhurumie msalaba unatushinda kubeba kwa huyu boss wetu.Bagonza anasema kuweni macho kwa watu wanaokuja kwa slogan eti ni mteyezi Wa wanyonge , hao ni chui katika ngozi a kondoo.
 
hata reli ya tazara wachina walijenga kwa miaka mitano wazungu walisema haiwezekani. tatizo kama kuna hidden cost sawa hapo ndio serikali watoe clarification au contract iwe disclosed hata kwa wawakirishi wa wananchi
mechanism mbili tofauti,bwawa haliwezi kujengwa chini ya 8 years,report za mwanzo zilisema hili litachukua 10 years ghafla naona imesemwa 3 halfu mazingira ya selous yaangalie vizuri kuna changamoto kubwa kule umakini usipozingatiwa ecology inaharibika, brazil walishafanya the same thing kama sisi leo imekuwa archipelago ya vijisiwa 3500 na usisahau ka bwawa cha hale kalilijengwa for 5 years
 
Bwawa la hale nimeliona pale mwanga kama huo mradi ni mkubwa zaidi ya hale huo utakua ni uongo wa karne kusema utaisha ndani ya miaka mitatu
originally hata arab contractors walisema ujenzi ni 10 years nashangaa kusikia majamaa na kikundi cha matarumbeta cha lumumba wansema itachukua 3 years eti itajengwa usiku na mchana, are these dudes high on Daud kanyau's cocaine or what? kabwawa cha HALE kalichukua 5 years hilo dude lichukue 3 years?
kwa kufichaficha huku hata mikataba nahisi kutakuwa na uharibufu mkubwa wa mazingira vifo vya wanyama na wengine watakimbilia kwenye makazi ya watu na kama waarabu wakifosiwa kulipua kwa miaka 3 basi tutarajie kupasuka kwa kingo then gharika kubwa na kutokea mauaji ya kutisha kwenye historia ya nchi yetu
 
Nyerere alikuwa mtu makini sana. Hii project yeye ndiyo muasisi na alikubaliana na wataalamu wake kuwa hili bwawa lijengwe in three different phases na kila phase ingechukua 3 to 4 yrs.
 
Nonsense. Utakuwa umetumwa na mabeberu. Tanzania si mara ya kwanza kujenga mabwawa ya kuzalisha umeme, tulijenga Kidatu, Mtera, Pangani, Hale. Je kuna bwawa kati ya hayo limeshaleta maafa?
Unajua kitu kinaitwa Mega dams??
 
Mbona Ghana, Uganda, Egypt, vipi Caboora Bassa Dam Msumbiji mbona huongelei wana mabwawa makubwa tu
unaongelea matatizo haya ni mabwawa yapo hujazaliwa. Unadhani hapa Bongo watalaam wa mabwawa hawapo wapo mjomba sana wengi tu ila wanashirikiana na wale wa nje nenda pale DDCA na Wizara ya Maji wapo wengi tu ndio maana mabwawa yetu na yale ya wenye madini yanakakuguliwa mara kwa mara na watu wetu sisi wenyewe
 
Ujenzi wa mabwawa makubwa kama hili letu huwa unaambatana na mikopo mikubwa ambayo ishawahi kusababisha uchumi kuanguka katika nchi za Turkey, Brazil, Mexico, na Yugoslavia⁠ ya zamani

kwa mfano bwawa la Tarbela kwenye mto Indus huko Pakistan.Mwaka 1968, kiliwekwa kipengele cha interest ya 7.5 kwa ajili ya ku cover inflation na ucheleweshaji wa mradi. lakini mradi haukukamilika hadi 1984, ulichelewa kwa miaka 8, inflation ikawa imefikia asilimia 380 . Bwawa hilo likagharimu mara nne ya gharama iliyokadiriwa na kuongeza deni la taifa la pakistani kwa mara nne zaidi

Mabwawa huchukua average ya miaka 8.7 kujengwa na mara nyingi matatizo yanapotokea na waanzilishi mradi hawapo madarakani basi waliopo madarakani huangushia lawama wale waliotoka
Mnyika wa chadema siyo mjinga kutaka kuona mkataba wa Stiglers Gorge ,hata catherine Ruge alipodai the real cost ni 21 trliion na siyo 7 trillion she has a point
Kwanza huu mradi tunaambiwa ni fedha za ndani okay tuseme ni hivyo ila kweli ndiyo utachukua miaka mitatu??????,hiyo Gorge yenyewe ina urefu wa kilometa 8 na mita 100 kushuka chini sina hakika mradi uta cover eneo kisasi gani lakini selous ni kubwa zaidi ya nchi ya Uswis na ni 4/5 ya nchi ya Ireland,vilevile katika ujenzi wa mabwawa kuna hatua lazima ujenzi usimame ili kingo zishike vizuri,mistakes zikifanyika tujue ni KLIO KWA UCHUMI kwa miaka mingi ijayo NA MAISHA YA WATU. kwa mfano:

*Bwawa lilokuwa linajengwa huko nchini laos lilipasua kingo na kusababisha mafuriko yaliyoua watu 200 na kuwaacha wengine 6000 wakiishi kwenye mahema

*Mmonyoko wa ardhi ulisababisha uharibifu mkubwa katika bwawa la Ituango linalojengwa huko colombia na kusababisha watu 25,000 kuhamishwa huku mradi huo wa dollar bilion 5 ukiwa matatani
*Miaka mitatu iliyopita bwawa refu huko marekani liitwalo Oroville Dam lililopo kaskazini mwa California, nusu lipasuke na kusababisha kuhamishwa kwa watu 190,000 na matengenezo yaliyogharimu dola bilioni1.1
*⁠.
mwisho kabisa,Ujenzi wa mabwawa kama ya kwetu una historia mbaya duniani kote.HUAMBATANA NA RUSHWA KUANZIA TENDA ZINAVYOTOLEWA,WANASIASA CORRUPT HUJIFAIDISHA,wengi hawaweki wazi mikataba ila mwisho wake gharama mradi unapoisha zinaongezeka siyo zile zilizosemwa mwanzo
Mfano mzuri ni kichekesho huko Congo,wanataka kujenga bwawa katika mto congo kwa gharama za dollar billion 80 na litakuwa bwawa kubwa duniani ila ni Mungu anajua tu what that means kwa nchi kama Congo
-NI JAMBO JEMA KAMA MRADI HUU WETU AMBAO UKIKAMILIKA LITAKUWA BWAWA LA PILI KWA UKUBWA AFRIKA UENDE KI UWELEDI
*mazingira ya Ecology yazingatiwe
*mkataba uwekwe wazi tujue nchi itabebaje mzigo miaka ya mbeleni tusidanganyane eti bwawa la pili kwa ukubwa Africa litakamilika kwa 3.6 bilion dollars
*Hii story ya kwamba litakamilika ndani ya miaka 3 ndiyo inanipa wasiwasi na this whole issue,ni kwamba mnafosi kwa ajili ya masifa au?hizo KINGO ZITAKUJA KUPASUKA na roho zitakazopotea zitakuwa juu yenu,maana siyo chini ya watu laki moja watakufa na vile vinyumba vya udongo yarabi toba
'Prophet of doom'
 
Hale liko Tanga, Mwanga utakuwa uliona bwawa la Nyumba ya Mungu...

Back
Top Bottom