CAG anatumika kuwaandaa watanzania kisiasa

Lubebenamawe

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
2,001
Reaction score
2,330
Mambo yanayoendelea nchini yameanza kuzua mashaka juu ya chanzo cha kifo ch magufuli

Hatutaki kuamini kuwa kifo cha Magufuli hakikuwa cha kawaida lakini matukio yanayoendelea sasa hivi ni kama vile yanatufungua macho kwamba JPM hakuondoka kwa kifo cha kawaida.

Riporti ya CAG kwa mtu mwenye akili anaweza kutambua kuwa imepikwa ili kutuandaa watanzania kisaikolojia ili kukubaliana na mambo yajayo.

Wapo watu wamekula au wanatarajia kunufaika na miradi ambayo JPM aliikataa mfano Bandari ya Bagamoyo.

Ni wakati watanzania umefika wa kukataa kwa pamoja miradi yenye masharti ya kutukandamiza.

Sitaki kusema mengi, ila ikinilazimu nitasema mengi. Nitarudi mpaka kwa kifo cha Mkapa.

Wanasiasa msitufanye watanzania wajinga. Tunaweza kuwafanya msiishi kwa amani hapa Tanzania.
 
Et ikinalazimu nitasema!!! [emoji28][emoji28]
Sahihi mambo mengine tunayajua lakini tunakaa kimya kwa ajili ya kuheshimiana. Ila kama watu wameshindwa kumheshimu marehemu aliyefanya mambo makubwa kwa taifa letu tutawavua nguo wakiwa hai. Watashindwa hata kutoka hadharani na pengine watakimbia nchi.
 
We mtoa nada umechanganyikiwa na unaonekana kuwa sukuma gang.

Bandari ya bagamoyo ni lazima ijengwe utake usitake itajengwa tu.
Hujui, nchi ilivyo wewe ni bendera shangilia, wakati wenzako wamepokea fedha kuiuza nchi. Shangilia tu iko siku utafunguliwa ufahamu.
Bora tuendelee kuwa maskini kuliko kuingia mikataba kama ya kina Mangungo...
 
Bandari ya Bagamoyo ni upigaji

Wawekezaji kuwa na uhuru wa kuajiri yeyote anaetaka sio sawa..

Kuchimba madini Mbugani sio sawa
Sahihi mkuu, kama kuna wakati watanzania tunapaswa kuungana ni huu. Tuache siasa. Miradi ya Bagamoyo na mingine itatuweka pabaya sana.
JPM alikuwa na mapungufu yake lakini katika usimamizi wa rasilimali alikuwa shujaa... Walipaswa kurekebisha mapungufu ya magufuli na kuendeleza mazuri.
 
Tuliza kalio hilo na ukiandamana utamfuata mwenzio huko polisi hawana utani wewe kitulize tu fanya maisha yako na ubavu wa kuandamana hauna
 
Umelipwa kushabikia ufisadi endelea... Kwa akili fupi mtakuja kujuta mtakapoletewa polisi wa kichina. Zambia sio mbali kajifunzeni, kenya wako kitanzini tayari. China inataka kukamata ukanda huu wote.
 
Mambo yanayoendelea nchini yameanza kuzua mashaka juu ya chanzo cha kifo JPM. Hatutaki kuamini kuwa kifo cha Magufuli hakikuwa cha kawaida lakini matukio yanayoendelea sasa hivi ni kama vile yanatufungua macho kwamba JPM hakuondoka kwa kifo cha kawaida.
Riporti ya CAG kwa mtu mwenye akili anaweza kutambua kuwa imepikwa ili kutuandaa watanzania kisaikolojia ili kukubaliana na mambo yajayo.
Wapo watu wamekula au wanatarajia kunufaika na miradi ambayo JPM aliikataa mfano Bandari ya Bagamoyo.
Ni wakati watanzania umefika wa kukataa kwa pamoja miradi yenye masharti ya kutukandamiza.
Sitaki kusema mengi, ila ikinilazimu nitasema mengi. Nitarudi mpaka kwa kifo cha Mkapa.
Wanasiasa msitufanye watanzania wajinga. Tunaweza kuwafanya msiishi kwa amani hapa Tanzania.
Msukuma wewe Kwa namna yoyote ile kifo cha magufuli ni baraka kwa Tanzania.
 
Vifo vya Corona kulikokuwa kwapigwa nyungu wakulaumiwa ni serikali.

Kwa wawili hawa wakulaumiwa ni lile jiwe renyewe.
 
Endelea kuzungusha mikono, kuna watu watakimbia nchi hii kwa uovu waliofanya. Hatuwezi kukubaliwa kuwa watumwa katika nchi yetu bora tuendelee kuwa maskini tukiwa na heshima.
 
Hii ni awamu ya sita. Ashukuriwe mola awamu ya 5 is no more.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Sahihi mambo mengine tunayajua lakini tunakaa kimya kwa ajili ya kuheshimiana. Ila kama watu wameshindwa kumheshimu marehemu aliyefanya mambo makubwa kwa taifa letu tutawavua nguo wakiwa hai. Watashindwa hata kutoka hadharani na pengine watakimbia nchi.
Me natamani kweli wavuliwe hizo nguo tuone nyuchi zao,.maana najua hao si waungwana hata kidogo hivyo kuchutama hawataweza,.
 
Back
Top Bottom