Habari wana JF,
Nyumbani kwetu kijijini kuna shughuli ya usindikaji pombe aina ya gongo ambayo wanakijiji uifanya ili kuwaingizia kipato. Shughuli hii ni ya muda mrefu sana imefanywa toka enzi za...
Habari wapendwa,
Nilikuwa naomba kujua zaidi kuhusu kampuni au watu wanaotoa huduma za usafi majumbani na ofisini. Jinsi ya kuanzisha, uendeshaji wake na changamoto zake.
Husika na kichwa cha habari.
Well nina eneo liko mbele ya barabara ya lami maeneo ya Kijitonyama nataka kufanya pawe kijiwe cha kuuza magari used....about (300 sqm au 350 sqm).
Mwenye gari...
Waungwana Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka kadhaa, elimu yangu darasa la saba mwaka 1998. Kijijini hukooo Isiman Iringa( v)
Nilikua mzuri Sana class Kijiji kinanijua kwa UBORA wangu sijuagi...
.Just got a chance to see some gems in the market please help me notice which type of green gems is this And what could be the price in the local market
Tanzania ready to start constructing Ug-Tz oil pipeline (independent.co.ug)
Dar es Salaam, Tanzania | THE INDEPENDENT) |
The construction of the $3.5 billion East African Crude Oil Pipeline...
Habari wanajukwaa
Kwa wahusika wachangamkie fulsa hii ya kiuchumi.
Nimeileta humu kutokana na uhaba wa vitendea kazi katika shamba hili. Shamba hili linamilikiwa na sisi wananchi kwa 100% na...
Salaam kwenu wana JF, hususani jukwaa la biashara, chumi na ujasiriamali.
Mwenzenu nimetingwa na nimekwama kidogo kwenye biashara yangu. Naombeni kujua ni sehemu gani nawezakupata mkopo wa...
Habarii wadauu natumaini mko poa.
Nimeandika kwa haraka ila nita edit baadae.
Hivi karibuni kuna mtu aliniulizaa kuhusu biashara ya pool table akaanza kunielezea ila kiukwelii nilikuwa sijuii...
Habari zenu wadau,
Nataka kuanzisha biashara ya pool table wenye experience na hii biashara njooni tujuzane faida na hasara zake na upatikanaji wake hapa mwanza.
Asante
Habari natafuta mfadhili ambaye atawekeza ili kuanzisha fm radio station mkoani arusha.
Gharama za mradi huu ni Tshs 48,000,000/=
Faida ambayo inaweza kupatikana kwenye mradi huu ni kuanzia Tshs...
Mimi ni graduate,nimejichanga changa nkafikisha kiasi fulan cha pesa ili nifanye biashara ya kuuza nguo za mitumba mkoani.
Kuna siku nilipita humu nikaona Uzi kuhusu ununuaji wa nguo za mitumba...
Hello wana Jamii Forum,
Nafikiria kuanzisha biashara ya uwakala wa bima aina zote hapa Dar es Salaam na ikiwezekana na mikoa ya jirani.
Sina utaalamu sana ila nilifanya kazi kidogo kwa hizi...
Habari zenu
Nimekopa shilingi milion 30 bank CRDB. Nahitaji kununua gari mojawapo katika hizi IST, ALEX, RACTIS, CARINA na pesa itayobaki nikamalizie mjengo wangu chanika (15MIL) na ibaki pesa...
Wakati fulani nilikuwa nimeenda kufanya interview ya kazi katika kampuni moja.Nilipofika pale nilikuwa na Computer yangu pamoja na simu huku nikiwa kwenye mstari kusubiri kuingia kwa ajili ya...
Wanajf naomba msaada wenu wakujua wapi kwa kariakoo naweza pata magauni marefu ya wadada wa kiislam kwa bei chee za jumla nijitafutie mkate
Nimeambatanisha mfano wa gauni hapo
Nina wiki mbili tangu niombe mkopo bank ya CRDB lakini hadi sasa sijaingiziwa pesa. Jana nimeenda kufuatilia nikakutana na watu kibao nao wanalalamika tena mwingine aliomba mkopo wa kumuuguza...