Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 921
Hivi ni process ipi ifwate mpaka kusajili jina la biashara na ni kwa bei gani ili lisiweze kutumiwa na mtu mwingine. Mfano wa jina vunja bei.
Hivi ni process ipi ifwate mpaka kusajili jina la biashara na ni kwa bei gani ili lisiweze kutumiwa na mtu mwingine. Mfano wa jina vunja bei.
nashukuru mkuu![]()
Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie. Natanguliza shukrani zangu. BAADHI YA MAJIBU YALIYOTOLEWA NA WADAU: UTANGULIZI Kuanzia tarehe 1 Februari 2018 #BRELA ilitangaza kuanza kutumika kwa mfumo wake wa kuwawezesha wamiliki wa...www.jamiiforums.com