jaffaray20
Member
- Apr 25, 2020
- 39
- 42
Mimi ni graduate,nimejichanga changa nkafikisha kiasi fulan cha pesa ili nifanye biashara ya kuuza nguo za mitumba mkoani.
Kuna siku nilipita humu nikaona Uzi kuhusu ununuaji wa nguo za mitumba ila hakukua na maelezo ya kutosha.
Nilikuwa naomba kuelekezwa sehem wanazouza mabelo ya mtumba kwa hapa Dar es Salaam,utaratibu hata pia muongozo wa bei pia.k
Kwa yeyote anayeweza kuwa na taarifa inayoweza nisaidia naomba unipatie.
Ahsante