Natafuta mwekezaji atakayewezesha uanzishwaji wa Fm Radio mkoani Arusha

sam2012

Member
May 21, 2019
10
9
Habari natafuta mfadhili ambaye atawekeza ili kuanzisha fm radio station mkoani arusha.

Gharama za mradi huu ni Tshs 48,000,000/=

Faida ambayo inaweza kupatikana kwenye mradi huu ni kuanzia Tshs 48,000,000/= kwa mwezi hivyo ni mradi wenye faida kubwa kwa yeyote atakaye vutiwa kuwekeza kwenye mradi huu.

Kwa mawasiliano zaidi kuhusu hili au kupata maelezo zaidi maana apo nimetoa brief ndogo tu hivyo call or whatsapp 0746297498 or samsonchristian19@gmail.com. asante
 
habari natafuta mfadhili ambaye atawekeza ili kuanzisha fm radio station mkoani arusha.

gharama za mradi huu ni Tshs 48,000,000/=

faida ambayo inaweza kupatikana kwenye mradi huu ni kuanzia Tshs 48,000,000/= kwa mwezi hivyo ni mradi wenye faida kubwa kwa yeyote atakaye vutiwa kuwekeza kwenye mradi huu.

kwa mawasiliano zaidi kuhusu hili au kupata maelezo zaidi maana apo nimetoa brief ndogo tu hivyo call or whatsapp 0746297498 or samsonchristian19@gmail.com. asante
Mbona hujaweka maelezo ya kutosha Mkuu, Radio ya namna gani? entertainment, community based au religious based elezea coverage yake itakua na radius gani? wateje walengwa niwatu gani ? process na utaratibu wa serikali kufungua Radio uko je? wewe umekwama wapi? eleza vzr ili usionekane kama tapeli.....
 
Kumbe nikiwa na million 48 naweza kufungua kituo cha redio

Mkuu mleta mada kaa tena chini uandike vyema ili mwenye hela aweze kushawishika na uwo uwekezaji hapo.
 
info zote zipo tayari mkuu hapa natafuta mtu mwenye mawazo kama yangu ili tuanzishe biashara hii yenye faida kubwa nitext whatsapp 0746297498 tuelezane zaidi.... karibu
 
Mkuu ,ukweli sina ela ya kuwekeza huko kwenye kituo cha redio kwa sasa,, lakin ndoto yangu kuja kumili miaka ya baadae.
 
info zote zipo tayari mkuu hapa natafuta mtu mwenye mawazo kama yangu ili tuanzishe biashara hii yenye faida kubwa nitext whatsapp 0746297498 tuelezane zaidi.... karibu
Dah ila hapa Nina walakini na maelezo yako.
Kama Dr mengi nilisikia alikuwa anayumba kwenye biashara yake ya media(Itv na Eatv) halaf ww leo hii utuambie faida yake inapatikana kirahisi hivyo yaani returns ya 100% ndani ya mwezi tu.
 
mkuu television station ni tofauti na radio station hata usajili tu tofauti.

na kingine ukiwa na management mbovu basi na biashara yako lazima iyumbe maana hakuna mtu wa kufuatilia mienendo ya biashara,

hivyo kutokana na changamoto kunaweza kuwa njia ya kupata mafanikio maana unakuwa unajifunza kutokana na changamoto hivyo ni rahisi kutoboa
 
ok..

jina la radio: liquid fm
eneo la mradi: arusha
aina ya radio: commercial radio(ya kibiashara)

lengo kuu na malengo mahusi: lengo kuu la radio hii ni kutoa habari kwa jamii, kuburudisha jamii, kukosoa jamii, kutengeneza faida.

walengwa wa radio hii: jamii (maana hao ndio wasikilizaji wakubwa )

bajeti ya mradi : bajeti ya mradi ni Tshs 48,000,000/= ambapo

1. gharama za studio mbili fullset Tshs 9,250,000/=
2. usajili Tcra: 5,000,000/= na gharama zote
3. transmission tools: fullset yenye 1kilowatt transmitter yenye coverage ya 100-200kilometers, stls, antenna 2 dipole, mast(mnara), generator, shipping, jumla yote ya vifaa vya transmission ni Tshs 25,869,160/=
4.gharama za uendeshaji kwa mwezi ni tshs 2,420,000/=
5. kuendesha mafunzo: Tshs 500,000/=
6. installation and consultancy fee Tshs 5,000,000/=
 
Ikianza kazi usinisahau mkuu
Sekta yangu hiyo
 
Unaweza kutuambia baada ya kuianzisha hiyo redio mapato yatapatikanaje?
 
Usiku wake wa kuamkia leo ulikua mrefu sana! Kalala mpaka kachoka, kaamka kapumzika kalala tena
 
ok mapato yanapatikana hivi...

1. kuna makampuni ya simu ambayo yanakuwa kwa kasi ambayo ni Tccl, halotel na mengineyo kama smile ambayo nilijaribu kuwasiliana nao ili niingie nao mkataba ili kuweza kupata mtaji wa kuanzisha radio hii kisheria maana mwanzo ilikuwa hewani bila vibali vya tcra hivyo wakanipa data kuwa wakiweka fedha zao kwenye radio isiyo kuwa kisheria watakuwa wanavunja sheria hivyo wakaahaidi kunipa ushirikiano pindi nitakapo kuwa hewani kisheria ambapo smile waliridhia kuingia mkataba ambapo kwa mwezi watatoa Tshs 1,500,000/= hivyo kuingia hewani kisheria kwa radio hii kutawezesha makampuni haya yote kuweka fedha zao kumbuka mimi sisubiri wateja wanifate mimi na wafata wateja walipo ndio maana nimeweza kuwashawishi makampuni haya kuweka fedha zao kwenye chombo hiki pindi kitakapo kuwa hewani kisheria...

2. kuna mashirika kama world vision, ambao waliridhia kufadhili kipindi(youth sound) ambacho niliki present kwao hivyo kilichobakia ni kwenda hewani kisheria ili kipindi kiwe rasmi (kumbuka mwanzo radio hii ilikuwa hewani na mitambo ambayo nilitengeneza mwenyewe hivyo nilikuwa nacheki hapa na pale kupata mtu ambaye ataweka fedha ili iwekwe mitambo mipya na kisasa pamoja na kusajili ili kuwa hewani kisheria..)

3. kuna watu binafsi wenye nia ya kuweka matangazo ya bidhaa zao kumbuka sasa hivi kuna wimbi kubwa la wajasiriamali na kipindi cha mwanzo walikuwa wanaogopa kuweka matangazo yao Hewani maana wengi walikuwa hawana kibali cha biashara lakini baada ya vile vitambulisho vya mkuu kuingia wengi wamekuwa huru na huku arusha ni wengi sana kwahiyo hii ni fursa maana kwa uwingi wao ukiwapa bei ndogo ya kurusha tangazo kutakuwa na uwezekano wa kuwapata wengi na kuingiza faida kubwa...
 
J
info zote zipo tayari mkuu hapa natafuta mtu mwenye mawazo kama yangu ili tuanzishe biashara hii yenye faida kubwa nitext whatsapp 0746297498 tuelezane zaidi.... karibu
vitu kama hv ndio vinafanya wachaga waonekane wezi

Mleta Uzi kuwa serious hata kidogo bas
 
Kumbe simple HVO? Basi dayamondi alitupga fix alisema wasafi FM kwa mwezi ilkuwa inawatoka 100m
ok..

jina la radio: liquid fm
eneo la mradi: arusha
aina ya radio: commercial radio(ya kibiashara)

lengo kuu na malengo mahusi: lengo kuu la radio hii ni kutoa habari kwa jamii, kuburudisha jamii, kukosoa jamii, kutengeneza faida.

walengwa wa radio hii: jamii (maana hao ndio wasikilizaji wakubwa )

bajeti ya mradi : bajeti ya mradi ni Tshs 48,000,000/= ambapo

1. gharama za studio mbili fullset Tshs 9,250,000/=
2. usajili Tcra: 5,000,000/= na gharama zote
3. transmission tools: fullset yenye 1kilowatt transmitter yenye coverage ya 100-200kilometers, stls, antenna 2 dipole, mast(mnara), generator, shipping, jumla yote ya vifaa vya transmission ni Tshs 25,869,160/=
4.gharama za uendeshaji kwa mwezi ni tshs 2,420,000/=
5. kuendesha mafunzo: Tshs 500,000/=
6. installation and consultancy fee Tshs 5,000,000/=
 
Wazo zuri sana mkuu, naiona changamoto ndogo tu kwenye mapato na gharama za uwekezaji na uendeshaji ila kwa nia niliyoiona kwako naamin itafanikiwa la muhimu ni umakn mkubwa, sina tu mtaji, zaid ya haya mafungu 30 ya nyanya, tungejiunga, kila la heri jamaa,Tchao,Muuza Nyanya
 
wasafi wanataka ufahari.... mimi nataka radio hapo gharama zinakuwa tofauti maana wao watatumia million 100 mimi natamia million mpaka tano kwa mwezi...

kwasababu kila anayefanya kazi wasafi gharama anazo lipwa ni kubwa mno kulinganisha na huku.

kumbuka mimi ndio engineer hivyo kwanzia nut, bolt, mic, na kadhalika nanunua mwenyewe hivyo sio rahisi kuajiri engineer mwingine au IT mwingine wakati fani hizo ninazo lkn diamond sio IT hivyo lazima atafuta IT kwa pesa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom