Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kama ilivyo picha ya huyo mwanamke hapo juu, ndo zilivyo fikra za watu wengi linapokuja swala zima la kuwa tajiri. Ukisikia neno tajiri nini kinakuja kichwani kwako haraka? Kila Muda neno tajiri...
2 Reactions
2 Replies
246 Views
Njia 9 Rahisi za Kupata Wateja Online Tanzania (Watu Wengi Hawazijui) Watu wengi wanaanzisha biashara mtandaoni lakini wanashindwa kupata wateja. Ukweli ni kwamba siyo mtaji mdogo unaowazuia...
2 Reactions
3 Replies
493 Views
Nimekuwa nikifanya kazi na kampuni za kimataifa kutoka UK, Europe, Canada, na nchi nyingine As an independent freelancer - na moja ya siri kubwa ya ukuaji wao ni mfumo wa lead generation, cold...
2 Reactions
4 Replies
180 Views
Mara nyingi nanunua hisa saa3 had saa5 usiku. Zinakaa siku nzima hadi kesho kutwa hazijawekwa kwene system had zina expire. Nina order kama 7 zime expire Kila siku ni kurepost. Ukiuza kuwekewa...
13 Reactions
53 Replies
2K Views
Facebook Ads ni nini? Facebook Ads ni mfumo wa matangazo ya kidijitali unaotolewa na Meta unaoruhusu biashara kulipa ili matangazo yao yaonekane kwa watu maalum kwenye majukwaa kama Facebook...
1 Reactions
2 Replies
266 Views
Wapendwa katika Uchumi, Beberu J nimerudi tena, Salamu nimeacha mlangoni, ukizihitaji nenda kazifuate, Anyway, back to topic, leo naongea na wote mlio U40, mmejiandaaje na uzee? Umejiandaaje...
32 Reactions
112 Replies
8K Views
Habari wadau mimi ni welding technology nahitaji mdau yoyote mkoa wowote tufunguwe workshop vifaa ninavyo kama welding machine grander machine drill machine naweza kupauwa paa za chuma magate...
8 Reactions
11 Replies
390 Views
Nafanya kazi na wachina Sasa jana nikawa najihisi vibaya nikasema ngoja nikalale nijipumzishe hadi mda wa kutoka job kwenye chumba cha mchina. Aisee nimekuta shangazi kaja 3 zimejaa pesa full
7 Reactions
27 Replies
660 Views
Kama nchi ilikua na akiba ya kutosha ya mafuta inakua vip bei inapandishwa ghafla ina maana stock iliyokuepo imeisha ? au wameamua kupandisha bei ya mafuta kwa kutazama soko la Dunia wakati nchini...
4 Reactions
6 Replies
237 Views
Nicomed Bohay - EFTA Taasisi ya fedha Equity for Tanzania (EFTA) imezindua hatifungani ya Sh50 bilioni kwa ajili ya kukopesha vifaa vya killimo, usafirishaji na ujenzi. Akizungumza katika...
1 Reactions
4 Replies
302 Views
Kama kijana upo kwenye sekta ya Technology soma Hapa Kama kijana ni mwana teknolojia iwe kutengeneza mifumo ya teknolojia kama Application(App) na tovuti(website) n.k au ni kijana unayetamani...
2 Reactions
8 Replies
379 Views
Fahamu Kwa kina kuhusu ujenzi wa Kituo /vituo vya mafuta (petrol station ⛽) gharama zake, pamoja na process hasa kuhusu vibali vya ujenzi n.k. Naitwa Ndama Matandiko najihusisha na ujenzi wa...
6 Reactions
47 Replies
8K Views
Kuna watu wanatamani kuwekeza kwenye soko la hisa lakini hawajui wangalie mambo gani kabla ya kuzingatia kwenye kuchagua kampuni ya kununua hisa zake. na hili suala lina wakumba mpaka baadhi ya...
13 Reactions
39 Replies
4K Views
Watu wengi wakisikia “DSE” wanafikiria ni sehemu ya kununua hisa tu. Lakini wachache wanaelewa kuwa DSE yenyewe ni biashara inayouza huduma za soko la mitaji. Huu ni uchambuzi wangu unaolenga...
3 Reactions
2 Replies
474 Views
Kuna pasi alafu kuna hii pasi Ya kwako imedumu kwa muda gani?
7 Reactions
7 Replies
346 Views
Hello best people. Achana na mambo yakuuliza kila siku mtaji wa shilingi ngapi unatosha. 3m+ 5m+ 8m+ 10m+ 15m+> Hapa Unapaa kabisa. Tafuta maarifa yakuwezeshe kufanya biashara. Uzoefu utapata...
2 Reactions
11 Replies
741 Views
KAUSHA DAMU/VICOBA ni tatizo kwa sababu hatuna financial education. Huwa nasikiliza watu wanavyo ponda VICOBA nabakia kucheka kimoyomoyo tu, au nikisiki wanasiasa wanavyo laumu mikopo ya kausha...
3 Reactions
8 Replies
394 Views
Wakuu Natumai mko salama na mnaendelea vyema. Mimi ni kijana mwenye ndoto kubwa na maono makubwa ya kujiajiri na kuleta mabadiliko katika sekta ya utengenezaji wa pombe kali. Ninapenda sana fani...
10 Reactions
49 Replies
3K Views
Jamani naombeni mniambie ukweli kwa wale wazoefu. Hivi ni kweli huwezi kufanya biashara ya duka bila uchawi au biashara yeyote bila kuhusisha waganga wakienyeji?
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom