Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana
Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua...
Waati Serikali ya Tanzania ikitaja vita vinavyoendelea kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran kuwa ndiyo chanzo cha ongezeko la bei za mafuta kuanzia Aprili 1, 2026, utata umegubika suala hilo...
Je, kuna CCTV camera ambazo ukizifunga zinaweza kukupigia alarm wakati ambao wewe ungetaka ifanye hivyo? Mfano usiku, ninalala saa 5, kwa hiyo kuna option ya kuset kwamba kuanzia hiyo saa 5 usiku...
Nje ya magari na vifaa vya aina hiyo,
Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
Ni ukweli usiopingika kuwa sheria na taratibu zimewekwa kwa lengo la kulinda afya na usalama wa wananchi. Hata hivyo, katika utekelezaji wake, kuna umuhimu mkubwa wa kuzingatia pia hali halisi ya...
Mwaka huu 2022 Mwezi wa 5 nilipost Uzi mmoja kuhusu blog (Usome hapa).
Kuna baadhi walinicheki niwape msaada nilifanya ivyo ingawa ni wachache tu waliofanya kweli na sasa wanapiga pesa.
Hivyo...
Ni mara nyingi nimekuwa nikikutana na watu kubeza aina hii ya wafanyabiashara, utasikia “huyo kazikuta kwao,” kana kwamba hilo ndio tiketi ya kufanikiwa kibiashara, ukweli ni kwamba, sio kila...
Ili kuboresha huduma na kupunguza gharama za uendeshaji inafaa makao makuu ya Air Tanzamia kupelekwa kwenye hub yao (JNIA). Haya mambo ya kuzungushana na ma-VX kati ya Airport-Mjini-Dodoma...
Wabongo wanapenda sana kuzipa biashara zao majina ya vitu maarufu, tutegemee siku za hivi karibuni kuona Hormuz Cafe, Hormuz Barbershop, Hormuz general store, Mgahawa wa Hormuz, Hormuz Bar n.k...
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.
Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika...
Rafiki
Sasa ivi ni saa 9.30 asubuhi.
Ndio muda ambao nimeamua kukuandika makala hii fupi na kwanini nimekuandika makala hii muda huu. Nimekuandika makala hii wewe mjasirimali, Mfanyabiashara...
Eneo la Stendi ya Mbezi Luis katika miaka ya hivi karibuni limekuwa na ongezeko kubwa la watu. Hali hii imekuwa kichocheo cha ukuaji wa biashara na fursa mbalimbali, hasa ikizingatiwa ukaribu wa...
Habari wanajukwaa.
Ninaomba tupeane uzoefu na mawazo kuhusu aina hizi 2 za milango ya Chuma. Ipi ni bora ukilingamisha na mingine.
Strength na weakness za kila milango. Inadumu kwa muda gani na...
Benki ya I&M imeendelea kupanua uwekezaji wake katika sekta ya fedha baada ya kufungua rasmi tawi lake la tisa katika eneo la Palm Village, Mikocheni jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya...
Kwenye ulimwengu huu wa Internet, na karne hii ya watu wanaontumia 80% ya siku nzima online na mitandaoni ni dhahiri kwamba Huko ndio sehemu potential zaidi kupata wateja ..
Ila kwa hali isio ya...
Wazee kwema
Katika hustle zangu nilibahatika kupata milioni 500 ambayo kwa sasa naona km nikisema nianze kuitumia au kufanya biashara naweza iharibu yote (si mnajua hela za zali la mentali? 😅)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.