Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
Mara nyingi nanunua hisa saa3 had saa5 usiku.
Zinakaa siku nzima hadi kesho kutwa hazijawekwa kwene system had zina expire.
Nina order kama 7 zime expire
Kila siku ni kurepost.
Ukiuza kuwekewa hela anasumbua
Ku update information ni shida
Je n broker wote wako ivi au n huyu!
Wanamshinda hata watu wa UTT.
Mwanzo nilijua watu wa hisa wako serious kuliko UTT