Umewahi kujitoa ufahamu?Umewahi kuona mtu ambaye amejitoa ufahamu?Unaelewa ufahamu ni nini?Una ufahamu?
Nitaanzia Mwishoni.
Miaka zaidi ya 15 iliyopita nilianzisha kampuni yangu ya...
๐น๐ฟ 4PILLARS OF BUSINESS( NGUZO 4 ZA BIASHARA)
๐ Leo naomba tuamke na hii๐๐ฝ๐๐ฝ: Takwimu za benki kuu ya dunia zinaonyesha kuwa watu walio na mafanikio makubwa sana ni wafanya Biashara.
Ukitaja...
Nawaslimu kwa jina la jamhuri ya muungano.
Mitaani hali ya biashara ya miamala inaanza kuwa mbaya, kwa mfano mimi nina kibanda cha mpesa tigo na airtel, kawida huwa nikufungua asubuhi wateja...
ILI KUFIKIA MAENDELEO KITAIFA MASHARTI YA MIKOPO YAPUNGUZWE KATIKA TAASIS ZINAZO JIHUSISHA NA MIKOPO
Habari zenu ndugu na jamaa nikiwa kama kijana ninaye itakia mema nchi yangu napenda kutoa...
๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ FAIDA YA KUFELI KTK BIASHARA.
๐ฉโ๐ฆฝ Nimekuwa nikiulizwa maswali mengi na watu mbalimbali juu ya suala la kufeli.
๐๐ฝMMI KILA NIKIANZISHA BIASHARA NAFELI JE NIFANYE JE NISIFELI?
๐๐...
Watuu habari zenu.. katika pita pita zangu za kibiashara nikakutana na huu mchongo nikaona si vibaya niwashirikishe na nyie ili wote tusonge mbele.. kuna website moja hivi ya kibongo bongo inaitwa...
๐ WAZO LA BIASHARA
Ukifatilia makala yangu iliyo zungumzia hatua za kuanza Biashara, hatu ya kwanza n kuwa na wazo la Biashara.
๐๐ฝ๐๐ฝ Makala hiyo imezungumzia njia za kupata wazo zuri la...
JAMBO 1 KTK PESA
โ๐ฟ Leo naomba tugusie jambo dogo sana ktk pesa.
๐ง Kinacho kufanya wewe kuwa Tajiri sio kiwango cha pesa ulicho nacho ila ni matumizi kwa kile unacho kipata.
๐ Mfano : Kama...
โ KWA NINI HUJAFANIKIWAโผ๏ธ
๐ง Kwanza tambua jambo 1 mungu hawezi kukutoa hapo ulipo mpka akupe elimu ya kule unapo taka kwenda ( kila elimu inalipiwa )
Mfano: Kama wahitaji kufanikiwa...
MBINU ZA KUJIAJILI KWA WANACHUO NA KUAJILI WENGINE
Njia Bora na rahisi kwa VIJANA waliokosa ajira na wamemaliza vyuo vikuu au vyuo vya Kati KUJIAJILI
Nchini Tanzania ajira imekua...
Huu ni uzi maalum wa kila mwenye wazo au chanzo kipya cha mapato kwa ajili ya serikali yetu ambacho hakitasumbua wala kuumiza watu. Maana hii kazi inabidi iwe ya Watanzania wote na inabidi uwe...
Siku chache zilizopita limekuwa na sintofahamu juu ya mabadiliko ya viwango vya miamala katika mitandao yote nchini, kupanda kwa miamala ya kutuma hela na kutoa hela Jambo ambalo linaendelea...
hivi kwanini kila serekali inapo zungumzia kuhusu COVID-19 aidha idadi ya wagonjwa, au kuhusu chanjo au kuchukua tahadhari, basi watu wanakuja na hoja za "wanaipigia debe COVID-19 ili wapate...
Hello business personels
Naomba kujua as per heading above, biashara ipi ambayo naweza kuingiza kiasi cha faida zaidi ya milioni 100 hadi 500 kwa mwez, kwa wiki au kwa siku..
Haijalishi mtaji...
Wakuu.
Tanzania na Uganda zimesaini mkataba wa mwisho kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani bandari ya Tanga nchini Tanzania .
Ni heshima Kubwa nchi yetu...
GAS UTILIZATION OPTIONS AND DEMAND FORECAST IN TANZANIA.
Natural Gas (Pure Methane, CH4) can be used for;
- Domestic Natural Gas Utilization Options.
Industrial Application as an Alternative...
โAkufukuzaye hakwambii tokaโ, ni msemo wa kiswahili wenye maana kuwa ujumbe unaweza kuwasilishwa kwa njia moja ukimaanisha kitu kingine tofauti. Mfano ukienda kumtembelea rafiki yako akakulaza...
Teknologia imeongezeka kwa sasa hivi watu wanatumia pikipiki za umeme na magari ya umeme, kwa sheria za tanzania hivyo sio vyombo vya moto hivyo havina bima wala hahutaji leseni kuviendesha ni...