Mchongo kabambe wa kukuza biashara yako

Mchongo kabambe wa kukuza biashara yako

roho kwatu

Member
Joined
Apr 27, 2020
Posts
9
Reaction score
5
Watuu habari zenu.. katika pita pita zangu za kibiashara nikakutana na huu mchongo nikaona si vibaya niwashirikishe na nyie ili wote tusonge mbele.. kuna website moja hivi ya kibongo bongo inaitwa e smile. Hii website inalengo la kumsaidia mfanyabiashara mdogo kutangaza biashara yake kwa njia ya mtandao ili kufikia wateja wengi zaidi.. ni unapost biashara yako pale picha ka tatu hivi then maelezo kidogo kuhusu hio biashara,bei na mahali ulipo na namba za simu ili mteja akipenda huduma yako akutafute.. ni mahususi kwaajili ya wafanya biashara wa vyuoni ila mfanya biashara yoyote unaweza tangaza biashara yako kwa hio website.. pia mteja anaweza nunua bidhaa kwa kuwasiliana na wewe mfanya biashara... so kama unahitaji kupeleka biashara yako kidijitali na kujipatia wateja kibwena fursa ndo hii ni bure huchajiwi chochote ni unapost tu upendavyo.. hii itakupunguzia kujaza bidhaa whatsapp status ambao watu wanao view ni wale wale ila website inakutanisha watu kibao na kila mtu anaweza ingia
So ndo hivo watu wangu
Link ni www.esmile.co.tz
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muuungano
Kazi iendeleee
IMG_20210627_132422_625.jpg
 
Back
Top Bottom