Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

HATUA ZA KUANZA BIASHARA 🖊️ Biashara ni kitu kizuri ila kinaweza kuwa kitu kibaya( itategemea na matokeo uyapatayo) 🎤 Ukizngatia hatu muhimu 10 biashara itakuwa ni kitu kizuri kwako *. 1. Kuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sitausahau mkopo wangu wa kwanza kabisa. Ndipo nilipoanza kushika mamilioni, ilikuwa September 2016. Basi nikanunua kiwanja kimoja na pesa nyingine nikaiingiza kwenye biashara ya duka la vitu...
11 Reactions
71 Replies
11K Views
Kama heading inavyosema, kwa mara ya kwanza kabisa nilipost hapa kuhusu njia mbadala wa septic tank na soakpit ilikua mwaka 2016,17 niliuza idea yangu ya kutumia BIODIGESTER badala ya kuchimba...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilikua ninawazo la biashara ya kuuza T na Subwoofers Je kwa kima cha chini cha mtaji itafaa niwe na shingapi? Location ni Iringa wilayani? Je risk zake zimekaaje? Connection ya kuzipata...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Waziri wa Fedha na Mipango Dr Mwigulu Nchemba Amesema Serikali itaingiza zaidi Tsh 5 Trilioni Kwenye Mzunguko wa Fedha Hatua hiyo itawafanya Wananchi Kutosikia Machungu ya Tozo Mpya za Uzalendo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ili uwe na mafanikio kwenye eneo lolote unahitaji kitu KINAITWA experience (uzoefu) Watu wanafel biashara,wanafukuzwa au kutothaminiwa kazin kwasababu ya uzoefu..ukifuatilia na kuwachunguza...
9 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu kwema mwenye uzoefu wa hii gari ya Harrier used mwaka kuanzia 2005 Ni Bei gan kwenye kampuni ya Autocom Japan.
6 Reactions
43 Replies
17K Views
Habari wadau mwenye mawe ya kwenye nyongo za ng'ombe nanunua. Njoo PM tuongee biashara
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika vitu vinawatatiza wa mama wengi mtaani ni kupata shuguli itakayowaingizia kipato cha kutosha. Na kila wanapofikiria wazo la kuanzisha biashara basi wanakwazwa na ughali wa mtaji...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari za Mchana wadau. Msaada wenu, nina milioni15 niko Dar es salaam nataka kuanzisha duka la kuuza vifaa vya umeme pamoja na plumbing naomba kujua vifaa gani vinatoka sana pamoja na changamoto...
2 Reactions
3 Replies
6K Views
Habar zenu wadau ....Mimi n mfanyabiashara mwenye vibali vya uvunaji na usafirishaji mazao ya misitu kutoka maliasili yan kuni . Ikiwa unahtaj kuanza biashara hii yenye faida kubwa (japo wengi...
1 Reactions
40 Replies
19K Views
Shirika la Posta Tanzania kwa kushirikiana na TanTrade wametoa Mafunzo ya Mifumo ya Biashara mtandaoni kwa Wafanya Biashara pamoja na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kibiashara Visiwani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
LUANDA - The Secretary-General of the African Continental Free Trade Area (AfCFTA), Wamkele Mene, said on Monday that Africa will soon have a new trading standard with the development of the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haki ya mteja kufahamishwa kuhusu huduma au bidhaa inatambulika na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA). Baadhi ya watu wanaotumia mtandao kutangaza huduma au bidhaa wamekuwa wakishindwa kuipa...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Wakuu nilikuwa naomba kujua kuwa Bei ya unit moja ya maji kwa Dar es Salaam ni kiasi gani? DAWASCO Natanguliza shukurani nyingi
1 Reactions
29 Replies
39K Views
Nataka nianze biashara ya kuuza kuku wa kienyeji, kuwatoa mikoa tofauti tofauti na kuwauza Dar es salaam. Naomba mnipe mbinu mbali mbali za kufanya biashara hii, haswa upande wa masoko, na bei ya...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu ni wapi naweza pata mihuri ya Expire Date? Naihitaji sana mwenye link anisaidie. Asante sana
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Niliagiza kifaa fulani huko Aliexpress 10/10/2020. Niliambiwa nitarajie kupata kifaa hicho kati ya Novemba 2-Desemba 2. Mpaka sasa naona kimya. Uliwahi kuwa katika hali hii? Ulifanyaje?
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Nchi zote duniani sekta hii inahesimika katika mchango wao katika jamii. Hii picha ni mpangilio wa wamachinga wanavyopewa frame za biashara na Halmashauri za miji. Hapa mmachinga anafanya...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Hili ni swali ambalo watu wengi sana huuliza Mara kwa Mara. Kutoka na tabia ya soko la bitcoin ,grafu za bei ya bitcoin inatuonyesha kwamba ,bei ya bitcoin ina vipi vyake au majira yake...
0 Reactions
2 Replies
939 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…